Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,037
- 107,536
vifaa ni vya mkandarasi ila mara nyingi huwa wanauza vifaa hivi baada ya mradi! Pitia kampuni nyingi za barabara huuza vifaa kipindi cha kuondoka!safi [emoji122].. hiv mkandarasi akiwa anajenga mradi hapa nchini na akanunua mfano magari, coasters(shuttle) na vitendea kazi zingine.. vinakuwa ni mali yake au ya serikali?.. mradi uwe unajengwa kwa fedha za serikali
Zoom tena uhesabu idadi ya ghorofa halafu uende kw kamati serekali iwajengeesafari hii old town imekutana na gwiji kwenye suburb[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
ni zoom uchafu juu ya uchafu ohh now is blue and white ushuzi wa nguruweππππZoom tena uhesabu idadi ya ghorofa halafu uende kw kamati serekali iwajengee
Sent using Jamii Forums mobile app
wanakufa kisa kugombania chakula unachezea njaa weweππππ ohh sisi GDP ushuzi mtuputunawaonea huruma angalau taifa letu lisife maskini..."
maana hapa duniani nyie ndiyo MLDC pekee mlio na umaskini kiasi cha kwamba dunia inafanya kuwachora tu[emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikija msa nafikia lincoln,ambapo wewe hata pua yako huwezi kuitia kule,hiyo nyumba niliyoishangaa ujenzi wake iko ng'ambo kule likoni mitaa ya lakers,mitaa hiyo na yenyewe ni kama nyumbani tu,hadi last year may nilikua huko we mbwiga komora096Inatakiwa uwe umeshajibu tayari, kuhusu sijui ni nyumbani hyo ni yako
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mhurumieni mziki alioupata kutoka mwanza hana hamu kabisaππππ hapa amebakia kuzuga asionekane kashindwaNikija msa nafikia lincoln,ambapo wewe hata pua yako huwezi kuitia kule,hiyo nyumba niliyoishangaa ujenzi wake iko ng'ambo kule likoni mitaa ya lakers,mitaa hiyo na yenyewe ni kama nyumbani tu,hadi last year may nilikua huko we mbwiga komora096
π hatari mkuu,kwa TZ ujenzi wa kuanzia ghorofa 1 lazima upeleke mchoro serikalini,jamaa kule wanajijengea tu,halafu ujenzi wao wanaamin kukandika cement nyingi tu,kwenye joint hizo nondo sasa π
Jamaa tunavyowaambia hali ya maisha kwao ilivyo wanajua tunaokoteza tu,kumbe tunaijua kwa kuwa na jamaa zetu kule,sasa huko lamu,maisha ya kule ndio hatari,ule mchele wao niliula tu sababu ndio ndugu zangu wanaula kila leo sikutaka kuwadisappoint π,maisha ni magumu kule hatari!huyo mhurumieni mziki alioupata kutoka mwanza hana hamu kabisaππππ hapa amebakia kuzuga asionekane kashindwa
Lincoln ndio wapi hko mpka mie nisitie pua yangu...Nikija msa nafikia lincoln,ambapo wewe hata pua yako huwezi kuitia kule,hiyo nyumba niliyoishangaa ujenzi wake iko ng'ambo kule likoni mitaa ya lakers,mitaa hiyo na yenyewe ni kama nyumbani tu,hadi last year may nilikua huko we mbwiga komora096
Kweli kabisa, watu wa lamu wana maisha magumu hatari..Jamaa tunavyowaambia hali ya maisha kwao ilivyo wanajua tunaokoteza tu,kumbe tunaijua kwa kuwa na jamaa zetu kule,sasa huko lamu,maisha ya kule ndio hatari,ule mchele wao niliula tu sababu ndio ndugu zangu wanaula kila leo sikutaka kuwadisappoint [emoji3],maisha ni magumu kule hatari!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna polisi kweli hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1417213
Km hii hapa[emoji3] hatari mkuu,kwa TZ ujenzi wa kuanzia ghorofa 1 lazima upeleke mchoro serikalini,jamaa kule wanajijengea tu,halafu ujenzi wao wanaamin kukandika cement nyingi tu,kwenye joint hizo nondo sasa [emoji3]
Nchi ya uchumi wa miraa!ππππ wako bzy kuuwana kisa kugombania chakula unacheza na njaa wewe
π€£π€£πππππView attachment 1417213
Masikini wa kutupwa. Ndio maana hata hoja zao hazina kitu. Kumbe njaa inawatesawanakufa kisa kugombania chakula unachezea njaa weweππππ ohh sisi GDP ushuzi mtupu
Hivyo ni vifaa mali ya mkandarasisafi [emoji122].. hiv mkandarasi akiwa anajenga mradi hapa nchini na akanunua mfano magari, coasters(shuttle) na vitendea kazi zingine.. vinakuwa ni mali yake au ya serikali?.. mradi uwe unajengwa kwa fedha za serikali
Kitu yenyewe hiyo hapo,angalia iko kiwambaza hapo juu hamna nguzo yoyote,iliyoshikia,kwa vile ni ndugu yangu nilimuelekeza namna ya kufanya hapo zikae nguzo,nyumba kama hii TZ huwezi kujenga bila kibali,soon naifuta hii post mkuu π€£,Geza Ulole hii ndio shida niliyoiona[emoji6][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji4][emoji4][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] hizo nondo sasa....!!! ishia hapo mkuu usimalizie...
naipenda sana kenya yangu,,, kenya ni ulaya ya dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa = KenyaMasikini wa kutupwa. Ndio maana hata hoja zao hazina kitu. Kumbe njaa inawatesa
Nyali