Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So mna ICU 518 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kitanda ni sehemu ya ICU, kuna vitu vingine vingi unahitaji ili ukamilishe ICU.. Ichoboy was right, huwezi kuwa na critical care beds basi ukatoka kifua mbele useme una ICU [emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ss hapo mcmamo wako uko wapi kwmb ICU ni room au ni kitanda na km ni room so unataka kuniambia kwamba mna room 518 kwa ajili ya corona virus victims
Nani amesema hivyo kilaza? Hizi ICU beds ni vitu zimekuwa hata kabla tujue covid-19 ni nini. Zile zimetengwa kwa ajili ya corona patients ni isolation wards na ziko kila County
 
Kitanda ni sehemu ya ICU, kuna vitu vingine vingi unahitaji ili ukamilishe ICU.. Ichoboy was right, huwezi kuwa na critical care beds basi ukatoka kifua mbele useme una ICU [emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
In his screenshot, this is how ICU is defined:

An intensive care unit (ICU), also known as an intensive therapy unit or intensive treatment unit (ITU) or critical care unit (CCU), is a special department of a hospital or health care facility that provides intensive treatment medicine.

Mbona Mnajifanya hamuoni hiyo part I have highlighted in red?
 
Kitanda ni sehemu ya ICU, kuna vitu vingine vingi unahitaji ili ukamilishe ICU.. Ichoboy was right, huwezi kuwa na critical care beds basi ukatoka kifua mbele useme una ICU [emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwn unadhani hawajui sema jana kuna mada ichoboy alitaka kuwabananisha ss wakaikwepa kwa kutaka kumtoa icho kwny reli japo tuliwastukia lkn tukaona twende nao hvyo hvyo [emoji3][emoji3]
 
An intensive care unit (ICU), also known as an intensive therapy unit or intensive treatment unit (ITU) or critical care unit (CCU), is a special department of a hospital or health care facility that provides intensive treatment medicine.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡munatandika vitanda munaita ICU mamaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…