Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiwafanyie hivyo ndugu zetu...kuna picha hapo niliomba Nairobi waweke kama hio waliomba msaada hadi Mombasa na hawakuweza kupata huo msitu wa magorofa
View attachment 1404351
Hyo picha haijalipwa mpk leo, ila hapa kuna mpya na haitalipwa believe me [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1585594241679.jpeg
 
Hahaaa!!sasa huyo mama kusema ndio uthibitisho tosha wewe..
Hahahaaaa!!eti kisha unasema kenya kati, hta aibu huna jomba, endeleeni kujipatia kiki na hao jamaa wa mpakani wanaotafuta ukaribu na unafuu wa matibabi tu...

Lkn never, naridia tena,never!!kamwe hutokuta mkenya kutoka yyeto ana mawazo eti akatibiwe tanzania..mtangoja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheheeee we subiri, utajionea aibu na maneno yako ya dharau hayo
 
Wah wah,hii ni cbd mzee hivi,apart from blue towers the rest ni slum like buildings, Barbara through cbd nkama za kipitia kwa miguu😱[emoji23]
Hahahaha ndvyo ilivyo hivyo miji yny density ukiangalia kwa mbali unaeza sema barabara za hapo ni nyembamba sana kumbe cvyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
Screenshot_2020-01-06-13-38-17.jpeg
 
My wish ni kila regional hospital iwe referal hospital yenye world class equipments. Uwezo huo tunao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah its possible in 5 years to come inawezekana...yani mambo yanaisha mkoani humo humo unless unaenda jkci ,Moi au ocean road..ngoja tuone najua next 5 years itakua ni za ku equip hizi hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwn siki hizi ubora wa nchi husika kuwa na hospitali na matibabu bora mpaka hizo hospitali ziwe za serikali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwn matabibu wa private hospitals hutokea ng'ambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utasemaji kwamba nchi inahospitali bora kama hizo Hospitali zinafikiwa na chini ya 1% ya watu wa nchi hiyo?. Chakula kikuu cha Kenya ni ugali, unaposema Kenya wanakula chakula bora, unamaanisha ugali, huwezi kusema wakenya wanakula chakula bora ukiwa unazungumzia Pizza ambacho ni chakula kinachotumiwa na 0.5% ya wakenya wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa!!sasa huyo mama kusema ndio uthibitisho tosha wewe..
Hahahaaaa!!eti kisha unasema kenya kati, hta aibu huna jomba, endeleeni kujipatia kiki na hao jamaa wa mpakani wanaotafuta ukaribu na unafuu wa matibabi tu...

Lkn never, naridia tena,never!!kamwe hutokuta mkenya kutoka yyeto ana mawazo eti akatibiwe tanzania..mtangoja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tungejuaje kama wakenya wanavuka mpaka kuja kufuata matibabu kama sio huyo mama?, kwanini watanzania wanaoishi mipakani wasiende Kenya badala yake wakenya ndio wanakuja Tanzania, na hao wakenya wanasema kwamba, kwao hospitali hazina dawa wala vifaa vya tiba, ina maana wanadanganya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa utasemaji kwamba nchi inahospitali bora kama hizo Hospitali zinafikiwa na chini ya 1% ya watu wa nchi hiyo?. Chakula kikuu cha Kenya ni ugali, unaposema Kenya wanakula chakula bora, unamaanisha ugali, huwezi kusema wakenya wanakula chakula bora ukiwa unazungumzia Pizza ambacho ni chakula kinachotumiwa na 0.5% ya wakenya wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kumbe chakula kikuu cha kenya ni ugali, daahh ndo mana jamaa wamekomaa sn utakuta kijana ana 25 lkn km ana 40 [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom