Acha nikujuze, mamia ya watoto toka Kenya, wanakuja kutibiwa Moyo Muhimbili. Mamia ya watu wazima wanakuja kutibiwa Cancer katika Hospitali ya Ocean Road.
Kuhusu hao wanaovuka mpaka, sio watu walioko mipakani pekee, ukimsikiliza huyo mama toka Kenya aliyelazwa na kutibiwa Tanzania, anasema wakenya kutoka sehemu za katikati ya Kenya huvuka mpaka.
Kitu kimoja lazima mtofautishe kati ya Kenya na Tanzani, sisi tunajali watu wote, ninyi mnajali watu maarufu pekee. Nitajie mtanzania yeyote aliyekuja Kenya kutibiwa katika Hospitali ya serikali, ambako ndiko tunapima ubora wa huduma za Afya za nchi husika, sio Private Hospitals ambapo ni chini ya 1% ya wananchi wanauwezo wa kulipia gharama.
Sent using
Jamii Forums mobile app