Gangi Longa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 275
- 135
Ndio nchi pekee duniani inatumia mabomu kupambana na corona 👇👇👇 alaf wanamuita magufuli dictator
Hahah inachekesha nitashangaa kama media Kenya haitajibu hili dongo!
Ndio nchi pekee duniani inatumia mabomu kupambana na corona 👇👇👇 alaf wanamuita magufuli dictator
wameshindwa kupambana na Al-shabab hasira zao wanazimalizia kwa wananchiNdio nchi pekee duniani inatumia mabomu kupambana na coronaalaf wanamuita magufuli dictator


Miradi ya msingi kwa maisha ya wakenya kama Galana kulalu project imewashinda, mnaanza kuzungumzia maabara za Corona, Hospitali zenu hazina dawa na vifaa tiba, wananchi wenu wanalazimika kuvuka kuja kutafuta matibabu Tanzania, badala ya kushughulikia hayo, ninyi eti mnakimbilia kujenga maabara nyingi wakati hata Hospitali na dawa za kuwahudumia hao mtakaowagundua hazipo.Akili za maskini hvo, manake maskini akipata leo yeye hafikiri ya kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wa humu wameikubali style hii wanasema tuwaacheNdio nchi pekee duniani inatumia mabomu kupambana na coronaalaf wanamuita magufuli dictator
Iko vzr in which aspect?Nairobi iko vizuri kuliko Dar,huo ndio Ukweli.
Japo Dar inakuja kwa kasi sana,inaweza kuikuta na kuipita Nairobi
kuna boda boda washampiga virungu mpaka kifo alimpeleka mama mjamzito hospitalWakenya wa humu wameikubali style hii wanasema tuwaache
Kenya is very dangerous country to livekuna boda boda washampiga virungu mpaka kifo alimpeleka mama mjamzito hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya itawachukua miaka 50 kufika hapa😂😂👇👇👇👇
Kijitonyama ni sehemu ya kutaja mbele ya watu kweli?? Kijitonyama has linear development, if you know what I mean. Majumba marefu kule yanapatikana tu along one stretch of a road so it's not worth mentioning. Kando ya hizo ghorofa ni uswazi kushoto kuliaUshawahi kuona tunaipa kariakoo hadhi ya mji wa kipekee? Sehemu tunayoipa hadhi hiyo ni kijitonyama ambayo iko mbali na CBD.
😂😂😂😂 songoro kashiriki pia naimaniSio miaka 100? Kisumu na Lamu vimewashinda itakuwa ujenzi wa meli?
Wewe unaangalia wingi wa majengo, sisi tunaangalia kasi ya ujenzi.Kijitonyama ni sehemu ya kutaja mbele ya watu kweli?? Kijitonyama has linear development, if you know what I mean. Majumba marefu kule yanapatikana tu along one stretch of a road so it's not worth mentioning. Kando ya hizo ghorofa ni uswazi kushoto kulia
Dole la kati hili apaKijitonyama ni sehemu ya kutaja mbele ya watu kweli?? Kijitonyama has linear development, if you know what I mean. Majumba marefu kule yanapatikana tu along one stretch of a road so it's not worth mentioning. Kando ya hizo ghorofa ni uswazi kushoto kulia








Kenya itawachukua miaka 50 kufika hapa
Af kamekuwa kamji kazuri ghafla sn, unajua Wakenya hawajui kwamba na cc tunashangaa, kwmb hatukuwa na habari nao mji uleWewe unaangalia wingi wa majengo, sisi tunaangalia kasi ya ujenzi.
Vitongoji vyote unanvyoviona Dar (Upanga, Kariakoo etc), vilikuwa vimejengeka kiasi toka zamani. Kijitonyama haikuwa hivyo ila ndani ya miaka saba tuu kumebadilika, na hicho ndicho kinachotushangaza.