Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,367
- 1,006
Uswazi is the sustainable settlements unlike slums ππππna tatizo kwenye uswazi ni planning pekee and not houses! 98%ni za block and nearly 60%utakuta ni self contained πππna program ya kutengeneza barabara barabara maeneo ya uswazi bado inaendelea eg picha ya Tandale pitia nyuma utaona, and that is the difference between us and you ππ
Hii hapa tandale mpeππππUswazi is the sustainable settlements unlike slums ππππna tatizo kwenye uswazi ni planning pekee and not houses! 98%ni za block and nearly 60%utakuta ni self contained πππna program ya kutengeneza barabara barabara maeneo ya uswazi bado inaendelea eg picha ya Tandale pitia nyuma utaona, and that is the difference between us and you ππ
Tena bila shaka hyo screen shot imepgwa na Tecno j7 ya kitambo sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Riruta slums mbili za mwanzo wazungu wakitalii, ya tatu ni screen shot ya Tecno [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1402659View attachment 1402660View attachment 1402664
[emoji23][emoji23][emoji23]wahurumie wana kale karamani kao kauwongo na kweli wamezungushia shed line ikiobyesha kibera ilivyoishiaHaijaisha ebu tuletee Kayole na Huruma View attachment 1402618View attachment 1402620
Uckute wala haiko hvyo sema kwasabu nyie ni Wakenya kupindisha ukweli ni jadi yenuChai ni ksh10
Andazi ni ksh5..
Haya piga hesabu zako sasa, tembea ndugu acha kujifungia tandale
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo makazi ya nyuma ndiyo huwa wanaficha huwa wanaishiabkupost estate tu[emoji23][emoji23][emoji23]Riruta slums mbili za mwanzo wazungu wakitalii, ya tatu ni screen shot ya Tecno [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1402659View attachment 1402660View attachment 1402664
Tecno c5πππtunataka tuone hii πjinsi inavyozungukwa na uchafu halafu wanakuja kujadili humu et Nairobi iko planned than Dar ππTena bila shaka hyo screen shot imepgwa na Tecno j7 ya kitambo sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unashangaa nini ss, hayo ndiyo maisha yetu huku, yn ni sawa na bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Haya mambo co kabisa, yn Afrika ni ushuzi wa shetani kabisa harufu yake haina kipimoAlaf wanamuita magufuli dictator[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1402694
na isitoshe akae akijua hayo maeneo kadri miaka inavyosogea watu wanatia pesa....mfano manzese inafumuka mdogo mdogo.....na imeshakuwa na taswira mpyaUswazi is the sustainable settlements unlike slums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na tatizo kwenye uswazi ni planning pekee and not houses! 98%ni za block and nearly 60%utakuta ni self contained [emoji23][emoji23][emoji23]na program ya kutengeneza barabara barabara maeneo ya uswazi bado inaendelea eg picha ya Tandale pitia nyuma utaona, and that is the difference between us and you [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tecno c5[emoji23][emoji23][emoji23]tunataka tuone hii [emoji116]jinsi inavyozungukwa na uchafu halafu wanakuja kujadili humu et Nairobi iko planned than Dar [emoji23][emoji23]View attachment 1402723
Since you have low supply of houses, unashangaa nini and you don't know the inflation rate in Nairobi ππ
Yani wanamaisha magumu ya kinyama kabisa alaf wanakuja hapa kufungua makalio yaoππ walizoea kuwadanganya Wanigeria kule nairaland Wakafkiri na hapa watakuja na gear zile zileπππSince you have low supply of houses, unashangaa nini and you don't know the inflation rate in Nairobi ππ
I see upper hill and wesland in one pic