Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na government ilihurumia NSIROBI laiti wangepewa fursa na gharama nafuu za ujenzi nairobi ingekuwa jiji la magofu na uchafu zaidi ya hapo ilipo [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
It is already the leading city this side of the Sahara, the most important city in the region. Machozi na chuki zako peleka kwenye dream house yako πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huu wimbo tumesikia toka enzi za Nyerere so you are not telling me anything new
Unaleta visingizio hapa eti mm sioni umuhimu wa kumiliki plot nairobi hahaha siuseme wazi huna uwezo huo wakumiliki simple and clearπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
It is already the leading city this side of the Sahara, the most important city in the region. Machozi na chuki zako peleka kwenye dream house yako πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Leading city with slums may be πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ munatisha kwa slums duniani
 
Eti hii sehemu iko kibabe?? 😱 😱 πŸ€£πŸ€£πŸ€”πŸ€”

Now I see why you call them dream houses
 
Nishamjibu Mwenzako. Aliniambia nijenge kibanda cha room tatu kama mnavyofanya hapo Dar nikamjibu kwamba sisi hatuna huo mfumo wenu wa dream houses ndio maana hazioni Nairobi
 
Na kwann hujiulizi kwann nairobi kuna biggest slums on planetπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo biggest slum in the world is only 2.5 square kilometres. Dar is 1500 square kilometres and is entirely made up of dream houses in the most disorganized and confused manner. Get the difference. Unplanned areas in Nairobi ni chache sana compared to planned areas while the whole of Dar in one big unplanned settlement
 
Runway lazma wajenge na pia nafkiri kambi ndogo ya jeshi itakuwemo ndani
Kusema kweli siafiki upuuzi huo! Ikulu size ya Dar was ohk! Fedha nyingine wangejenga hata state of the art international conference center (kama ya sandton), state of the art museum kama ile ya Senegal (Museum of black civilization) na state of the art Library kama ya UDSM! State of the Hotels ama state of the art leisure parks pia zahitajika! Kweli mtu mmoja tumjengee mpaka airstrip? Hilo eneo ni zaidi ya campus ya UDOM, for what?
 
Uswazi maana yake ni makazi ambapo nyumba ni nzuri lakini hazijapangiliwa vizuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ambako watu wa kipato cha chini huishi View attachment 1397894
So this means that the whole of Dar literally kila mtu ni wa kipato cha chini coz uswazi iko almost everyone. Hizi nyumba mnaita dream houses are virtually everywhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…