komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Yani unajikuta umerauka kumbe hujui km kuna wengine wamekesha[emoji1787][emoji1787]Ukipima speed ya kutokea 2015 mpaka 2019 ilhali miradi mingi ya barabara bado inajengwa na mingine ndo inaanza unaweza kupata picha mwisho wa mwaka huu mambo yatakavyokuwa
Sent using Jamii Forums mobile app