Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu ambayo mkenya anaweza kumzidi mtZ,kwa sababu nyie ni nyani wenye maisha magumu hatari
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi
Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie, mbona kama mbwembwe zimepungua tunakwama wapi? - JamiiForums
Mnatushinda kweli?
 
Somalia has auctioned the disputed area to Exxonmobil and Shell
2345285_Screenshot_2020-03-22_13.01.36.png

Somalia agrees offshore oil exploration roadmap with Shell/Exxon: minister
2 MIN READ

CAPE TOWN (Reuters) - Somalia has agreed an initial roadmap with a Shell/Exxon joint venture to explore and develop potential offshore oil and gas reserves, the Ministry of Petroleum and Mineral Resources said on Monday.

“I am delighted we have agreed an initial roadmap with the Shell/Exxon joint venture. This gives us confidence in (the)ability to further explore any offshore hydrocarbon potential,” minister Abdirashid Mohamed Ahmed said in a statement.

Last month Somali President Mohamed Abdullahi Farmajo signed petroleum legislation into law to help open up a new frontier market in Africa as the strife-torn country hopes new petroleum finds will help transform its economy.

Seismic data suggests there could be significant oil reserves offshore.

In October Shell and Mobil, which had a joint venture on five offshore blocks in Somalia prior to the toppling of dictator Mohamed Siad Barre in the early 1990s, agreed to pay the government $1.7 million for historic leasing of the blocks.

Exxon Mobil and Shell were not immediately available to comment.

Reporting by Wendell Roelf; editing by David Evans
Our Standards:The Thomson Reuters Trust Principles.

Somalia agrees offshore oil exploration roadmap with Shell/Exxon: minister

MY TAKE
Kenya has no claim whatsever combine Exxonmobil and Shell r the largest oil groups! There is no way Kenya can win the case at ICJ!

CC: hydrogen Teargass Nicxie mwaswast Zigi Rizla sevenup Depay komora096 pingli-nywee Matrixx crabat

Lile Bomba lenu la mafuta sijui Hoima Tanga limefikia wapi?
 
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi
Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie, mbona kama mbwembwe zimepungua tunakwama wapi? - JamiiForums
Mnatushinda kweli?
Usi huzunike usiskitike the moder electric rail in africa two phases
Dar to moro 300km over 73% complete

Moro to singida 440km 25% complete

stiglers gorge the biggest dam in east africa😂😂😂👇👇👇👇

Hakuna mradi unawanyima usingizi kama sgr tanzania😂😂😂 Aiseee munaomba usiku na mchana 😁😁😁😁
 
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi
Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie, mbona kama mbwembwe zimepungua tunakwama wapi? - JamiiForums
Mnatushinda kweli?
Kuna hii nyingine ulikua hujui inaitwa rusumo hydro electric power😂😂👇👇👇

Usi huzunike usiskitike the moder electric rail in africa two phases
Dar to moro 300km over 73% complete

Moro to singida 440km 25% complete

stiglers gorge the biggest dam in east africa😂😂😂👇👇👇👇

Praise Team naona mko mahali pagumu Sana.
 
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.

Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?

Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?

Ndege zetu zimepaki? yaani.

Mambo ni mengi sana muda hautoshi
Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie, mbona kama mbwembwe zimepungua tunakwama wapi? - JamiiForums
Mnatushinda kweli?

wow! wanamjua hadi Polepole, while sisi hatuwajui wasemaji wao, not sure if even exist!
it’s breathtaking!
 
Back
Top Bottom