Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kakudanganya kuwa watu hawajengi vijijini?
umempa msumeno wa swali zuri sana.......

na akae akijua kuna watu kuanzia babu zao wamezaliwa town kivipi wakajenge kijijini wakati baba zao walishajenga...
nakingine watu huku wanajenga kote kote wakenya ni washamba sana[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lao wanajifanya wanajua kila kitu, kumbe zero tu hawana lolote..

Bro mi wa tanzania nawafahamu vizuri sana, kwhyo km naongelea kitu kuwahusu basi ujue nina uhakika nacho..

Sent using Jamii Forums mobile app
so hukushangaa kuona tshirt zenu za reli yenu na jubileee zikitokea bongo 😂😂😂😂 we unafkiri tanzania kuna kitu inategemea kutoka kwenu😅😅 kuna rafki yangu anakaa malindi hua anakuja dar kuchukua mzigo wa nguo anaenda kuuza malindi
 

Africa tuko wavivu sana kufanya research, sababu ya utegemezi wa kila kitu from western na kiasi kikubwa wameteka sana fikra zetu.. Huu ugonjwa umekuwepo tumeshindwa kuconnect dot za wagonjwa wamafua toka 2018 to date.. Watu wengi wanakiri kuugua na kuwa na dalili za Corona toka 2018 na kupona.

*Issue ya msingi nikuzuia maambukizi zaidi maana tuko na ndugu wana kinga dhaifu na magonjwa mengine yanaweza kupelekea vifo kwa haraka.. But ukweli tunakosa facts kusupport this namkumbuka Dr Sebi nayaliyomsibu alipokuwa anapambana kuweka ukweli hadharani kuhusu magonjwa sugu duniani.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
It’s a know fact lazy ass bitches live in UJAMAA FISHING VILLAGE ,speaking and writing sub standard broken English.Stick to Swahili it all you are good at,Your word order is considered pidgin worse than broken English.
You are the king of broken English
Look
 

Attachments

  • IMG_20200321_123616_179.jpg
    35.9 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…