Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hyo report imewahi sn kuja, mm nilitaka ichelewe kdg mpk joka lije liwachezee siri zao af ndo report ije, but co mby wkt wakijiuliza inakuwaje wapitwe idadi ya wenye mbumba, joka hili apa na ndpo watakapo logout jf na wataichukia sn[emoji3][emoji3]
Ripoti imewapea sleepless 😂😂😂
 
anaendesha hili gari atakuwa mwasiti [emoji23][emoji23] akili zake anazijua mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa hiyo Mwasiti hapo akifanikiwa kula kona atahitaji makopo kadhaa ya rangi na anakua na Ndinga, Ila kwa uendeshaji huo nadhani anajua kusukuma gear moja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yaani anaendesha gari anapitwa na mtu anayekimbia, halafu gari lenyewe Kaiba, tena kaibia police [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mwenyewe hata siielewi.. lbda kwa juu kuna platform itawekwa.

itafsiri hizi picha [emoji116]
View attachment 1384150View attachment 1384151
Hapo chini huo kama ukuta mweupe ni treni na kuna paa pia juu ya groundfloor platform na ndo maana inafanana na iliyo juu ya viaduct ila naona kutakuwa na lift na escalator za nje pia zaidi ya kuingilia kupitia jengo na kuvuka na air bridge kuifikia platform!
 
Khaaaa yan Tanzania tuna millionaire mara 4 zaidi ya kenya!!!!...kweli uhalisia hauongopi
 
"And was the third in africa after SA,Egypt and nigeria"
Unajielewa kweli wewe au ndo umechanganyikiwa kusikia ina matajiri mara 4 zaidi ya kenya!😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…