Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi sio ya kufananisha na dar embu
Hata kwa macho unaona Nairobi ikoje
 
Anhh bro hio bado tumewaonesha vionjo tu ngoma kamili inakuja tulieni basi plz musihare bado muda wa kuhara haujafika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kionjo wakati magu anaogopa kuvifungua makaratasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani ni ile ile mitungi ya kifafa aisee, aibu tupu hata hajui ataanzaje kuvipiga picha visambae mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna cku niliwahi kukuambia humu kwmb usiichukulie poa mihogo ni chakula ambacho kwa sasa hukipati hovyo, mihogo ni the next game changer subr tuanze ku export huko kwenu muone mtakavyoigombania
Mihogo haswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio watoto wetu wateseke kw utapiamlo km hko kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hawatambui kuwa wananuka mdomo mpaka wakalishwe kitako au waone wenzao wanawakwepa kila wanapotaka kufungua mdomo waongee.
Vivyohivyo majirani zetu bado hawajatambua kuwa wamekuwa colonized na mchina mpaka waaibike kwanza ndio watakubali
 
Mbona Yapi wasije na test trains za bullet unless hizi hapa ndizo za kwenu...ile kucheka nitacheki zikiwasili itabidi mkimbie humu kiasi.
Hvi unajua maana ya test trains unajua maana yake au wivu unakusumbua😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…