Mpokonyeni dangote kile kiwanda cha saruji ndio mlime vyakula vya maana watu vijijini wanaumia sana na mihogoKama hamna mafuta, na chai haina uwezo wa kuwapa pesa ya kujitosheleza kwa chakula, achaneni na chai na muanze kuzalisha chakula cha kutosha kwanza, hata hilo nalo mnataka tuwafundishe?, otherwise mtaendelea kufa na kudhalilika kwa kutegemea chakula cha misaada hadi mwisho wa dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo ndo bullet train[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382] dawa itakuingia tu usijal
View attachment 1376374View attachment 1376375
Lkn uswazi ndio majumba ya kishua sioUku hizo ni bweni za watoto wa shule kwenu nyumba huoni tofauti hapoo[emoji382][emoji382][emoji382]
Mbona mushaanza kuogopa sasa 🤣🤣 yani tumewatisha kidogo mushaanza kuhara
Akili hua haikai kwenye makalio🤣🤣👇👇👇View attachment 1376471haifView attachment 1376471anani na hii iko kwa ground
Eti kuhara na wakati inafanana na kile kichwa chenu cha kifafa[emoji1787][emoji1787]Mbona mushaanza kuogopa sasa [emoji1787][emoji1787] yani tumewatisha kidogo mushaanza kuhara
Yani mumeshtuliwa kidogo tu mushahara nusu ndoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tulieni jamanEti kuhara na wakati inafanana na kile kichwa chenu cha kifafa[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmebadilishiwa rangi tu[emoji1787][emoji1787]Akili hua haikai kwenye makalio[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1376473
Nihare kisa mitungi ya kifafa...Yani mumeshtuliwa kidogo tu mushahara nusu ndoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulieni jaman
Anhh bro kweli hebu tuangalie wote kwa pamoja plz🤣🤣🤣🤣
Kuna cku niliwahi kukuambia humu kwmb usiichukulie poa mihogo ni chakula ambacho kwa sasa hukipati hovyo, mihogo ni the next game changer subr tuanze ku export huko kwenu muone mtakavyoigombaniaMpokonyeni dangote kile kiwanda cha saruji ndio mlime vyakula vya maana watu vijijini wanaumia sana na mihogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhh bro hio bado tumewaonesha vionjo tu ngoma kamili inakuja tulieni basi plz musihare bado muda wa kuhara haujafika🤣🤣🤣🤣