hapa ni kipawa kuelekea pugu.. afadhari washaanza kutandika reli


💄💄💄
Morogoro road is currently under two major constructions, interchange and expansion from kimara to kibaha. ..The only three level interchange in east and central africa
Wivu lazima uone kw sababu unaumia kenya nje ya slums huwezi kuta upuuzi km hko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app




Amazing
Hahahaaa!!!bado haiwezi badilisha ya kwamba kibera ina watu wasiozidi laki mbili hku uswazi middle class kunaishi mamilioni ya watanzanialol kwani hao raia 89% wanaishi kwenye hizo slums sio binadamu? Sio wakenya?
Mbona kama unawaongelea mbuzi au bata? Eti "nje ya slums"
Wanaoishi kwenye slums zilizotapakaa Kenya nzima na wenyewe ni wakenya na ni walipa kodi kama hao wanaoishi kwenye cages kama broilers
Hawa hapa View attachment 1375314
Rais wako mwenyewe ni slum dwellerView attachment 1375315


..

Just the same way hizo squalors zenu aka dream houses huwezi pata mtu huku kwetuHayo mabweni huwezi mlaza mtuu kwa bongo uku
Ni wapi nimesema hiyo ni ya east Africa? I used that as an example to ask him inaitwaje. Can't you even see it's a render?Umeokoteza nchi gani hii picha? Maana East Africa tunaendesha upande wa kushoto wa barabara.
Kuchafu tu au we unaonajeKisumu city beibee.......View attachment 1375409View attachment 1375410View attachment 1375411View attachment 1375413
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibera is the biggest slum in Nairobi and covers 2.5 square kilometres. Zile dream houses zenu ziko kushoto kulia and covers more than 80% of your city.Slum nyingine zinacover area ya ukubwa gani?
Hujajibu swali, slums nyingine zinacover area size gani?Kibera is the biggest slum in Nairobi and covers 2.5 square kilometres. Zile dream houses zenu ziko kushoto kulia and covers more than 80% of your city.