komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wivu lazima uone kw sababu unaumia kenya nje ya slums huwezi kuta upuuzi km hko kwenuSasa nionee wivu nchi ambayo ina slums kila kona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu lazima uone kw sababu unaumia kenya nje ya slums huwezi kuta upuuzi km hko kwenuSasa nionee wivu nchi ambayo ina slums kila kona.
[emoji3][emoji3] yule jamaa dawa yake iko jikoniPia naona na ile line iliochorwa ya only BRT [emoji16][emoji16]
None of your business. Wewe hujui kuhesabu ata Rudi darasani [emoji23]Swali uliloulizwa gari unalo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bora hawakukuomba pesa wanunue. Hii maisha haitaki makasiriko. Tia bidiiKarne hii bado mnatumia vipanya na hivyo vihiace vifupi[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe sindano imekushika asbh asbh😁😁💉💉 anaejua kuhesabu nani yule kiongoz wenu teargass😁😁😁😁😁😁None of your business. Wewe hujui kuhesabu ata Rudi darasani [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
wacha hasira ukome kujidai ati from "Thika Highway" wakati unapuyanga kwa miguu crossing the highway on the Pedestrian bridge from ur rented one bed room schack! Unakaa Watchman! Umefika kazini?None of your business. Wewe hujui kuhesabu ata Rudi darasani [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
heeeeeeeeeh! where is this hell???LOL just Imagine Corona dropping here 😂😂😂😂😂
Where 89% of Nairobians struggling (living) View attachment 1375083View attachment 1375084View attachment 1375085View attachment 1375086View attachment 1375087View attachment 1375088View attachment 1375083View attachment 1375084View attachment 1375085View attachment 1375086View attachment 1375087View attachment 1375088
Nyie tulieni kama nilivompa dawa teargass ya GTC anafkiri utadanganya hapa kama wanavowadanganya wanaigeria Kule nairaland sasa asubiri na yeye dawa yake inachemka 😁😁[emoji3][emoji3] yule jamaa dawa yake iko jikoni
Mother of slums in the world, nairobi😀😀heeeeeeeeeh! where is this hell???
CBD inanuka ushuzi hvi vitu kwa ground hawatawaonesha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1375183
Siwezi umia kisa Kunyaland.Wivu lazima uone kw sababu unaumia kenya nje ya slums huwezi kuta upuuzi km hko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema huwezi kuta uchafu km huo nje ya kibera pale Nairobi[emoji3][emoji3] hawa watu hawaa