ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Siku hzi hawazungumzii kuhusu SGR toka ilipoishia misituni 😁😁😁😁 imeshageuka kua white elephantIla Wakenya wa JF bana, kuna kipindi flan last year walikua wanashangilia Tunnels za SGR yao ya to nowhere humu ndani, kuanzia zinaanza kuchorongwa mpaka zimekamilika tena na wachina wakafanya na party kabisa
Zililetwa picha za phase 2 hapa maandishi ya kichina kila pembe ya tunnel
Leo wanaleta Wabongo mnaanza kulia kulia....
Sent using Jamii Forums mobile app




