The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Leo umewavua nguo zote


na hakuna atakaeijibu hii km unabisha subiri uone

I asked him the same question a few days ago na bado nangoja majibu yakeEbu tuonyeshe picha za hizi slums zenye ziko kwa google map yako.
1. Slum Bank
2. Slum Tv
3. Kenya slum youth development.
Nataka utuambie ziko eneo gani Nairobi.
Kwa namna ulivyo jishtukia ukani quote na wakati nimesema zangu EA wala sijataja Nairoslums ni unatambua kabisa kuwa Kenya ndio inaongoza kwa kuwa na slums ukanda huu 😂😂😂
Sasa hivi wana hadi false of slumWakati kuna nchi moja hapa EA ukuaji wa slums unaongezeka kwa asilimia nyingi sana
According to UN ukuaji wa slums ni asilimia tano.

Slums hadi karibia na ikulu 😂😂😂
Sindano zimegusa kunako💉💉💉😁😁😁Mwingine anapost picha za 2013. Siku hizi hakuna hawkers Archives. Pole for disappointing you broh![]()
Hizo slum zipo ndani ya false of slum ,false1,2,3,4,5 nkI asked him the same question a few days ago na bado nangoja majibu yake
Naona leo wamekali kuti kavuMwingine pia kaiba ya South Africa alafu anasema ni Dodoma - Morogoro road.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliza mzungu 😁😁😁👇👇👇👇anaakili kuliko weweEbu tuonyeshe picha za hizi slums zenye ziko kwa google map yako.
1. Slum Bank
2. Slum Tv
3. Kenya slum youth development.
Nataka utuambie ziko eneo gani Nairobi.
Asante kwa povu karibu tena🤝🤝🤝
Tukuletee majengo mengine uchore zigzagAsante kwa povu karibu tena![]()
Uhehehe muishkuru sana hii thread imefungua sana macho😀😀😀😀
Leta tu otherwise pumzika naona leo akili yako imepata moto