Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rudini Sauzi kwanza ndio muanze kuwa na ndoto za kuja Kenya
Sisi hatufanyii sifa tunafanyia biashara ndio maana na mwaka zinakuja ndege 3 brand new
Q 400 moja
Airbus mbili

Kaa mkao wa kula mambo mazuri yanakuja🀣🀣
 
Ndugu zangu the eight wonder of the world imekua discovered in Kenya njooni mjioneeπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



 
Thanks magufuli kweli tumeonaπŸ€πŸ€πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

 
Ndugu zangu the eight wonder of the world imekua discovered in Kenya njooni mjionee[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]



SGR ya Kenya hadi. Miaka 4 ijayo wakipiga gharama itakuwa Mara 1.6 ya gharama za ujenzi kwasababu Inazidi kutia hasara za kila namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks magufuli kweli tumeona🀝🀝[emoji1241][emoji1241][emoji1241]

Nyie mnapenda sane Kuexport kwa wenzenu sio??[emoji23][emoji23], halafu mnajisifu tu oooh Kcb made a twice profit than all Tz banks combined..[emoji23][emoji23], Kila mtu apambane na nchi yake saa hizi tuko busy, yaani ifike point naviona vibigijii hapa arusha vinatoka mombasa ifike point kila mtu akifanya production kwanza afilirie soko la ndani sio tu unawaza kwa jorani we said NO! mbona wenzenu tunafanya kwa soko la ndani and yet tunawakimbiza? So from now zaeni muwe wengi muuziane hizo bidhaa wenyewe na sisi tunataka tufanye business zetu wenyewe! Halafu makampuni yeo tz ni zaid ya 500 yetu huko I think hata 25 hayafiki halafu mmoja anataka eti Free trade[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mungu mpe zaidi Raisi wetu aiimarishe nchi yetu TZ


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
kwanza boss,nimekosolewa nikaambiwa niangaliwe mambo ya vikomo..hata wewe nitakuambia hivyo hivyo .Unajua watu hawapendi kuambiwa ukweli,ndio nimeitwa mujuaji,na watu wananiita hivyo waktumia lugha ya matusi na kiburi.

Umesema eti wakenya waliongea matusi..mimi siwezi kuunga mkono mtu wa matusi,awe mkenya ama mtz.Wote nitawakemea na niseme washindwe

Pengine huu uzi ulipoanza ulikuwa ni fun na haukuwa serious.lakini ukiisoma KURASA ZA NYUMA utaona umekuwa wa kucheka eti kenya kuna slums,kenya kuna hii shida kenya kuna ile shida.Shida kama hizi ziko hata nchi za BRICS kama Brazil na India.Mimi siwezi kuchukua sehemu ya gazeti tanzania nianze kucheka nikiona shida fulani.Kufanya hivyo itakuwa USHETANI.Kucheka mashida ya jirani yangu ni UPUMBAVU MKUBWA.Na ndio nasisitiza ya kwamba huu uzi umefika mahala ukakosa mwelekeo na manufaa kabisa.Haijalishi ni watu wangapi wameusoma..hata watu bilioni mmoja wanaweza kufanya makosa.Na isitoshe,hizo shida mnacheka eti ziko kenya pengine zinafanya wapanue mawazo yao wakifikiria jinsi ya kuzitatua.WHAT DOES NOT KILL YOU MAKES YOU STRONGER.Na sio ukweli kudai eti najifanya smart.kwanza mi napenda sana mtu akinishauri.ile kitu sipendi ni utoto.

Kusema kuna mradi huu huku kenya ni sawa.Lakini nitakuwa nikiongea UTOTO nikisema huo mradi hauko tz.Maanake mradi wa kenya unaweza kusaidia mtz,Vilevile mradi wa tz unaweza kusaidia mkenya.Kwa mfano mradi wa gas tz unaweza kunifaidi kama mkenya maanake hiyo gas nitainunua(sio kusaidiwa) kwa bei nafuu hapa kenya.

Utaona nimekujibu bila kutumia matusi.Maanake mi ni mtu mzima na hakuna haja ya kukosea watu wengine heshima.Kama wenzangu wanaongea matusi mimi siwezi kufuata huo mfano mbaya.Nataka nionyeshwe mkenya ambaye alionekana akifurahia shida za Tz nimnyoroshe saa hii.
 
Sisi hatufanyii sifa tunafanyia biashara ndio maana na mwaka zinakuja ndege 3 brand new
Q 400 moja
Airbus mbili

Kaa mkao wa kula mambo mazuri yanakuja🀣🀣
Hii biashara sio kama kuuza karanga za Diamond. Haiitaji mihemko πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hii thread imekuzidi umri wako, nenda ucheze kwenye zile thread za mikeka ya sport betting na zile natafuta marafiki wa kuchat nao😁😁😁😁
Boss,huu uzi umejaa utoto.Na ndio nimeshangaa forum ya heshima kama jf iko na watu wanaongea upumbavu kama huu.Nimesoma na kupost kwingine hapa jf,mi si mgeni...na huko kuna watu wazima pekee.HUKO HATUWEKI EMOJI ZA KICHEKO BILA MAANA AMA BAADA YA KUTOA HOJA EMPTY.HIZO THREAD ZA SPORT BETTING ZINAWEZA KUNUFAISHA BADALA YA KUTUKANANA ETI HUU MLIMA WETU NI MREFU KULIKO WENU,AMA HII BUILDING YENU NI YA 30 FLOORS NA YETU NI YA 60 FLOORS.HUO UNAITWA UTOTO NA DISCUSSION KAMA HIYO INAITWA DISCUSSION YA KITOTO.

Sasa wach ningoje matusi...na ukumbuke UKWELI HAUBADILISHWI NA MATUSI


.
 
Mkuu umeanza kama watz wengine na kuangusha hii stori mko nayo ya ujuaji(na mnasema hivyo mkiongea matusi na kujipiga vifua bila sababu).Lakini hilo swali unalosema ni rahisi hujajibu.Niambie manufaa unayopata ukisema eti kenya kuna hii shida ama ile...ama ukisema tz kuna hiki na hiki na kenya hakuna.Niambie tu vile inakunufaisha..na uongee kama mtu mzima tafadhali.
 
nilipo kuambia ni mjuaji nilimaanisha unafanya kama wa tz na ke waliopo wote hapa ni hatujielewi au hatuna vitu vya kufanya nkakuambia tulia uliza kugain maana ake uliza kistaarabu kwamba tuna nufaika nn na huu uzi sio ulivokuja kutu kebei as if sisi hapa hatuelewi tunachofanya sikumaanisha najua au nn nilimanisha tulia kwanza ndio uulize alafu unavosema watz wanatumia matusi boss angalia kamaa kuna qoute hata moja nimekutukana

nb. i acknowledge the way unavo feel humanity kwa wanadamu wenzetu coz i feel the same too

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara sio kama kuuza karanga za Diamond. Haiitaji mihemko πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ndio maana tunaongeza ndege kwasababu tuna uhakika nayo remb 3 yrs 11 brand new aircrafts cash deal and this year 3 more brand new aircraftsπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…