Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli huu mwaka ni balaa,kama ulivyotabiriwa


Naona mungiki wameanza kukubali mapema hivi...😂😂👆👆👆👆
 
Kweli huu mwaka ni balaa,kama ulivyotabiriwa


Naona mungiki wameanza kukubali mapema hivi...😂😂👆👆👆👆
diagnosis continues.(..danger sign...patient laughs at his own jokes)...continue with questioning-utabiri ulifanywa na nani?na hawa mungiki unataja..ni kina nani?
 
Kuna tatizo gani watu wakionyesha maendeleo kiduchu katika miji yao?kuna sheria gani imevunjwa?

Okey wewe mwenye mtazamo wa tofauti ni kwanini basi usifungue Uzi uweke fikra zako uko tukufuate?
Usione watu ni wajinga bro wewe ndio waweza kua unafeli, kama humu kumejaa baseless,senseless,pointless discussion show us the way, open up a thread and express yourself with your tangible issues,otherwise achana na huu Uzi ASAP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na mimi pia niko na mtazamo wangu tofauti....huu uzi ni wa kiupumbavu....kwa nini niondoke?hizo ni hisia zangu na niko na haki ya kusema vile ninafikiria.sisemi watu ni wajinga...watu wanaweza kuwa ni wenye busara lakini nyakati zingine wanaweza kuongea mambo ambayo ni ya kijinga,ok?Hakuna kitu kibaya kama kuona watu wakipotoka ama wakifuata njia mbaya na ukose kuwaambia....kwa hivyo nitaendelea kusoma haya mambo ya kiupumbavi mpaka nichoke.nitaanza uzi baadaye...wacha nisome maoni tofauti kwanza...BUT I REPEAT (NAJUA WATU HAWAPENDI UKWELI)---A NEW AIRPORT IN DAR OR NAIROBI IS AN ORDINARY THING..NOTHING TO BRAG ABOUT OR BOAST....DOING SO IS THINKING SMALL...BADO KENYA NA TANZANIA NI THIRD WORLD COUNTRIES.OTHER COUNTRIES WALIJENGA AIRPORTS SAA HII WANAFIKIRIA MAMBO YA SATELLITE LAUNCHING STATIONS..TUKO NYUMAAAA.....

BUT EVEN MORE THAN INFRASTRUCTURE...WE SHOULD DEVELOP OUR MINDSETS AND START THINKING ABOUT INNOVATING AND PROVIDING AFRICAN HOMEGROWN SOLUTIONS TO ISSUES..NOT POSTING ABOUT GERMAN PRIME MINISTER SAYING THIS OR CHINESE GIVING US THIS OR THAT.THESE ARE ALL EXPLOITERS..

yes i know mtakasirika ....LAKINI HUU NDIO UKWELI....THINK BIG...COMPARE DAR OR NAIROBI TO RIO,SEOUL AND SO ON NDIO UGROW...AIM FOR THE STARS UFIKE MOON....This is why tz wanasifu tu eti simba na yanga na kenya eti gor afc..instead of comparing with and thinking of how to beat Esperance,TP Mazembe and so on.SMALLMINDEDNESS ndio itaua watu wa tz na kenya




Sasa nangojea kuambiwa eti niende....niende wapi?hamtaki ukweli..nitawaambia mnikemee halafu mlale...
 
Tunawajua kwa ujuaji wala hamtusumbui, unajua tatizo la Kenyans ni ujuaji uliopitiliza yn kujua English kimtindo bac mmekuwa wajuaji kupitiliza amini nawaambia kwa ujuaji huu hamtakaa muwe na amani hata cku moja.
 
Jipe kazi sisi tuko hapa utahama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jipe kazi sisi tuko hapa utahama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
aaa kama tu nimesema...naambiwa nihame...sing'oki ng'o,,,,,mimi niko hapa steady...siendi..naendelea kusoma huu uzi tu..ukipost eti barabara mpya dar ama nairobi(kitu ya kawaida)na uanze kujigamba nitakwambia kwa taratibu ........."hii ni haki yako,na ni kitu kinatakikana uwe nacho kwa sababu umelipa ushuru".halafu utakasirika lakini najua utabadilisha maono na uwache kupotoshwa kimawazo.
 
Wakenya bhn kwa ujuaji hamjambo, alafu ili kuamunisha watu kwmb yupo nondo atatia English kdg mambo bam bam jioni anavua koti lake uyooo anarudi zake home Mukulu kwa njenga [emoji3][emoji3]
what is with you people and slums....ziko nairobi na watz wamejaa gikomba ambayo ni slum area.na ni "mukuru kwa njenga"--at least jua spelling kama unataka kuitaja.Na for your information mtu wa slum anaweza kuwa na akili kuliko mtu wa suburb...hii inaonyesha vile unadharau binadamu ambaye hana bahati ya kuishi maeneo ya kifahari kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…