Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hutaskia tena habari ya airport wala habari ya ndege[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] utakachoskia humu ni ushuzi wa GDP
Kimoja kimoja kinazimika mwisho wa siku watamove humu na kubaki kuwa watazamaji ,,,kwani itafikia kipindi hata story za GDP zitakufilia mbali....huu ndiyo ukweli....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni tullow and TOTAL kwa hasara poleni wafanyakazi 600 mliofukuzwa kazi karibu mchina utawale Kenya asante jubilee🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

 
Na huu uzi ulitokapi? Ni utoto mtupu. Hii pissing contest itafaidi nani? Mi ni mkenya na sijawai kuona idea ya kitoto kama hii. Kila mji uko na uzuri na ubaya wake. Otherwise wale watz wamejaa nairobi hasa gikomba hawangeonekana huko.kwa hivyo wale wanaendeleza hii thread wanajionyesha vile wako na umaskini wa kiakili. Yes. Nimesema.east africans kweli tuko na ujinga !!!
 
My Advice:Huu Uzi achana nao tu....endelea na mishe zako usipate tabu ya kutumia energy nyingi ya maneno..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ss we ndio mjinga wa mwisho, km unaona huu uzi ni wa kijinga kipi kimekufanya upite? Yaani kweli we ni chizi sn, watu wenye akili zao wapo humu af we kenge mmoja kutoka kibera unakuja kuongea ushuzi humu, mjinga kweli we, and this stupid shows the clear definition of the word kunyan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…