ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Je umbali wa picha uko sawa sawa 😁😁😁😁Eeh hiyo ndio Westlands, combination ya Posta,upanga na kariokooView attachment 1366905View attachment 1366906
Sent using Jamii Forums mobile app
Je umbali wa picha uko sawa sawa 😁😁😁😁Eeh hiyo ndio Westlands, combination ya Posta,upanga na kariokooView attachment 1366905View attachment 1366906
Sent using Jamii Forums mobile app
Je umbali wa picha uko sawa sawa![]()
Utalia sana...Leo niko na nyinyi, nimewacha siku nyingi mkaona kama tunatoshana na nyinyi ldcOver 35 babykipigo cha mbwa koko bado munajidanganya GTC kuna over 30 six hahahhaha endeleeni kujipa matumaini
Nimekwambia hyo picha ya pili iko poa, je unaweza kuniambia ni wp hyoTazama vizuri uone Westlands iko mbali zaidi kuliko posta,upanga na kariokoo kwa hizo picha hehee...View attachment 1366958View attachment 1366959
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za mwaka gani hizii alaf hizo barabara zenye nyas kibao kama zipo dsm nafunga account yangu jf leta ushahid hapaaDar es sluum roads 2020
Nimekwambia hyo picha ya pili iko poa, je unaweza kuniambia ni wp hyo
Kwahyo hii ni westieUsipanic hii ni westie na leo inazaa na nyinyiView attachment 1366993View attachment 1366994View attachment 1366995View attachment 1366996
Sent using Jamii Forums mobile app


Jipeni miaka kama fifty ndio mahari Nairobi ipoThe Amazon jungleView attachment 1366999
Locust ni raia wa kenya😁😁😁👇👇👇
LOL zipo slums Kenya nyingi na kubwa zaidi ya unavyojua, usihadaike na hizi pictures za westie zinazopigwa kila angles na kujazwa humu, those cages don't even occupy 1% of Nairobians
That hell pit is horribleWwoo
Kibera is overrated,this dandora should be the worst slum in africa!!!..
LOL sometimes when they criticizing the informal settlement of Dar am just marvel because from what I know, the worst part of Dar is the posh area in Nairobis slums which are everywhere and exceptional for its quality. .Kenyans failed in housing..totally