mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
2018??? 😂😂😂
Wakulima wa korosho bado hawajamaliza kulipwa, msimu mpya umeanza korosho bei ni TZS 2,556
Nimeona tweet ya Naibu Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Bashe akisema wakulima wa korosho wa mwaka jana ambao serikali ilichukua korosho zao bado wanaendelea kulipwa, nimeshangaa siyo kidogo. Mwaka mzima serikali inalipa nini? Hayo malipo yasiyoisha ni malipo ya namna gani? Mtu aliuza korosho zake...
