Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msifikiri tumelalaa
Screenshot_20200220-230700.jpeg
Screenshot_20200220-230715.jpeg
Screenshot_20200220-230846.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari saini zimeshamwagika, uzuri wa Tanzania maendeleo ni kote kote

Kuna vinchi vingine vidogo kama piriton lakini havijaunga counties zao zote na lami

Kigoma kwa Tanzania ni sawa na Loduwaaa, Lokichar, Kakuma huko Kenya kwa namna ya position, Em wakenya tuleteeni hali ya miundombinu ya hayo maeneo ukilinganisha na Kigoma ya Tanzania

 
A D is a D....you either bright or not.
very funny, hyo ni D ya A level co ya o'level mzee, hv unaijua D ya advance ww? Oohh sory kumbe nyie ndio hamna advance kwenu, ni hv huku kwetu kwnz kabsa hzo nlizokutajia ni pass za A level, lkn pia huwez kwenda A'level bila kuwa na credits ktk comb unayoenda kusomea na credit huku kwetu inaanzia C, ss huyo mwenye minimum requirements za kwenda chuo manaake o'level alikuwa amefaulu vzr tu, hapo nlikuwa naongelea kwa wale wanaoenda chuo fresh from school, so now u know how tough it is au co.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wakishindwa wanakimbia kwa mume wao aka Ethiopia. Yaani kichapo cha humu kimekolea hadi mnatafuta support kwa nchi nyingine muongeze forces. The things is hamtaki hata maendeleo ya region yenu wenyewe for the sake of jealousy aisee smh....wakenya wa humu ni maboga yaliyooza
 
Back
Top Bottom