Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The building is 37 floors kwa paper but not on ground.
Uko bize kuhesabu floors kwenye picha mbali huko kaunti ya Kilifi....Na bado unabishana na contractor aliyejenga toka nondo ya kwanza.Njoo upande ni bure tu, Its now official 37floors,Ni ujinga sana huo.Pole najua inauma tufanyeje sasa hata sisi hatukutegemea.Subirini surprise ingine kwny Mzizima Tower.....Nikuwafurahisha tu safari hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wanafikiri haya tunayofanya tumekurupuka, hii ni mipango ya mda mrefu uliopita na ndio maana Mh. Kikwete alimkingia kifua Magu:
 
Just take that your pic and bring it here I will gladly count it. What you don't know is that I believe in what I see which can either be pictures or reality.
achana nae.. siku nitaenda kujaza mafuta hapo .. na kupiga picha.. lkn ni ajabu sana mtu yupo kenya anabishana na mtu aliyepo Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehee, apo psychology inasema tayari ushakubali kwmb zpo floor 35, ss twende taratibu zimebaki ngp zifike 37???
HELLO

2307749_IMG_20200215_130230_113.jpg
 
Kweli bro hizi zetu double stack zitaharibu reli yenyewe kwa kuwa Hii yenu ni of inferior quality. Kabla ukutupuke, hii reli ji double stack ama ni ya kubeba ka-container kamojoa kamoja...mtajaza za kufika Uganda lini?
Kabla hujaanza kucomment kuhusu TZ SGR Kwanza angalia hii report. Nimekuwekea kuanzia sehemu unayotaka kufahamu, ila ukitaka kujua full plan n y cheki video kuanzia mwanzoni itakupa mwangaza wa kinachofanyika na kwanini wachina wamesitasita kumalizia hiyo yenu:
 
Back
Top Bottom