babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
Anaombea miradi ya Tz ikwame lakini cha ajabu eti ni miradi ya Kenya ndio inakwama zaidi 😂😂😂Na hii port itaisumbua sana Mombasa port nyie subirieni muone athari zishaanza kuonekana from 700,000 tons to 3.5tons now within a year 😁😁😁




