Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

clearly haujui apartment ni nini. Hizo nyumba ni tofauti zote, na ziko kwa parcels of land different. ata macho hauwezi tumia.
hizo......class room zenu zafanana aisee zimekaa kimakundi.....yaani eneo moja nyumba kumi ukienda pengine nyumba kumi acha longolongo na ubishi wakipuuzi ngoja nikuletee upuuzi uliouweka...[emoji3] [emoji124]
 
We haujui apartment ni nini... sasa unataka mtu anaishi kibera awe pia na nyumba hapo, like what is wrong with your brain? swali zingine. Kama angeafford kuishi hapo si ange hama kibera. grow up man.
we umepagawa.......mpaka waleta kota hapa....ha haaaa jiongeze wakenya halisi wapo kibera dando n.k......huko pengine foreigner ndiyo wanamiliki hizo kota
 
clearly haujui apartment ni nini. Hizo nyumba ni tofauti zote, na ziko kwa parcels of land different. ata macho hauwezi tumia.
we kweli ni mpuuuzi hizi ndiyo nyumba zilizo tofauti.......unaleta kota hapa hafu waja kupiga kelele na ulichonifurahisha .....ni mibanda hiyo hiyo .......tu ila picha zimepigwa engo tofauti tofauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kweli wa kibera ......inamaana kenya hamna nyumba zaidi ya hizo kota .....a k a restaurant....

na isitoshe nyumba za mtindo huo hata huku dar zipo.....tena nyingi.....tu yaaan wew ni bogus eti watu wanauziwa inamaana wakenya woote mmeuziwa hizo nyumba...?.. na kama mmeuziwa je..idadi ya hizo nyumba ama kota zinaendana na population ya hapo nairobi ...?.. kama mtu kashindwa kujenga je nyumba ataweza kununua

acha upuuzi jitafakari









 
naomba ukasome vzr uliyoyazungumza kaka😀😀😀😀😀😀
huna records sahihi
 
jamani tulichosema jana kitu ambacho watajing'ata ng'ata hawa washamba wa nairobi ni hiki mzee KAMBALANICK kaja na kota zake...aiseeee hawa majamaa wakikenya wanaficha mazingira yao asilia ......mpaka najiuliza inamaana nsirobi nzima hizi ndiyo nyumba zilizopo na wakenya woote inamaaana wanaishi nyumba dizain hyo za kota.....kiukweli jibu ni hapana KAMBALANICK kajikanyaga kanyaga mwisho wa siku ....karudi kulekule kaleta nyumba za makundi kama hostel au restaurant hebu tizameni [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
kaka inaonesha wewe huna record na fact sahihi wanaoishi kwenye apartments kwa nchi ulizozitaja hapo juu ni foreigners wanaotoka asia,africa, na kwengine kote....watu humiliki nyumba zao wenyewe wa kila level na pia mpaka wasanii wacheza mpira na wengineo humiliki nyumba zao......common people in nairobi hawawez kumiliki nyumba kwasababu gvt yao haiwapi support kwenye mambo ya ardhi na vifaa vya ujenzi, e.g ardhi kenya ni ghali sana kwasababu haimilikiwi na serekali na pia ukifatilia oil pipeline ya uganda ilishindwa kupita kenya moja ya sababu ni ardhi ghali ikaongeza cost kubwa mpaka kufkia 4 billion $ wakat tanzania ni njia ndefu lakini watapitisha kwa cost of 3.5 billion $, vifaa vya ujenzi ni ghali sana kenya mfano cemnet 50kg kenya ni 770 ksh wakat cement 50kg tanzania ni 350 ksh inclisive vat of 18%...
sijakwambia sand au aggregates ndio kabisa ni sawa na bure, eg sand in dar, each ton plus transport is 500ksh and aggregates ni 950ksh per ton inclusive transport and vat wakat nairobi sand and aggregates hizo hapo
Construction Materials cost. 2016. Nairobi, Kenya.
by Arch. Francis Gichuhi Kamau. on March 3, 2016 in A4architect • 0 Comments
Current market prices.Nairobi, Kenya

Sand
fine sand.1800 per ton
medium sand2600 per ton
coarse sand 2100 per ton
aggregate 2200 per ton
dust 1200 per ton
 
ndiyo maana tunakuambia wew umeivamia hii thread unajifanya umeifuatilia wakati hata maada zako hazina nyuma wala mbele vitu vishazungunzwa hivyo....kitaaambo bora ulale tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124]
 
huyo kilaza .......usipate tabu ya kumuelekeza....ni mmoja kati ya wale omba omba kwa pale nairobi......haelew kitu huyo
 
Kwa kufuata mipango miji, dar ni mwanafunzi tu kwa Nairobi. bila town planning kila mtu atajijengea atakavyo tu. dar ni moja ya miji ambayo iko poor planned.

how losers are comforting themselves during a tight situation.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Povu jingi ukimaliza unarudi kwenye dormitory ulipo panga
Ndio maana takwimu zinasema Kenya inaongoza wanaume kupigwa na wake zao ,hamjitumi mkajenga nyumba mnabaki kwenye dormitory za wanaume wenzenu
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
ndiyo maana tunakuambia wew umeivamia hii thread unajifanya umeifuatilia wakati hata maada zako hazina nyuma wala mbele vitu vishazungunzwa hivyo....kitaaambo bora ulale tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

 
If this is how Tanzanians argue then education is important.... Nigerians and south Africans always argue based on facts but this guys are personal
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…