Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kwamba hamuwezani nayo ni kwamba hamna sehemu za kujenga wala uwezo huo😂😂😂
Well planned na mmezungukwa na slums kila kona,
Tuna ifahamu Nairobi na Kenya nzima nje ndani,
Unaishi bedsitter ambayo harufu pekee ya mdomo inatosha kuharibu hali ya hewa 😂😂😂
But the level of income in our slums is the same like in Mikocheni. This is because your currency is worthless, labor costs in your country are dismal and the fact that land and property prices in Dar are low as the private sector is largely informal and underdeveloped. Kenya is a real capitalistic country where ordinary people are pushed into slums as the demand for property pushes affordability beyond reach for thelow income people.
 
This is you trying to establish facts that do not exist. Bla bla bla bla watu mnaenda kazini kwa matatu.....yaani hata daladala za kawaida Dar hamna na hiyo brt mnayopaka lipstick barabarani hebu leta proof kuwa inajengwa kwasababu I know for sure kuwa ni big ass white elephant....with them ugly buses lol
View attachment 1353109
Hilo ndinga limekaa dizain ya kontena la kuhifadhia nyama buchani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hizi chocha zote Mombasa ina port kubwa kuliko Dar and its the 2nd largest city in Kenya while Dar is the main city in Tz.
Mombasa imetokea ko kwenye suburb na mwanza alaf unakuja kuongea nn hapa😁😁😁😁
 
This is you trying to establish facts that do not exist. Bla bla bla bla watu mnaenda kazini kwa matatu.....yaani hata daladala za kawaida Dar hamna na hiyo brt mnayopaka lipstick barabarani hebu leta proof kuwa inajengwa kwasababu I know for sure kuwa ni big ass white elephant....with them ugly buses lol
View attachment 1353109
I made a mistake when I wrote BRT instead of SGR in the first point. Anyway, it's interesting that you only picked on BRT and deliberately decided to give the other points a wide berth. Why? My guess is as good as everyone else's.

Nairobi is building a brt system. Hiyo ya lipstick was an afterthought, we didn't need it at that time otherwise it could have been included in the design of Thika road. But this reminds me, I thought you are a 'travelled man' as you have always claimed here. Haven't you seen lipstick BRT systems even in developed cities? Ama you are a travelled man just within Dar is slum?

Talking of BRT, this is the first phase of Nairobi brt system under construction
images(283).jpg
images(256).jpg
2295306_images_13.jpeg

Can we now talk about the other points that you deliberately decided to avoid? I have a few minutes left
 
Our SGR is working. Only God knows when yours will start working

How you expect Nairobi to have bridges is beyond comprehension. You are a Danganganyikan anyway, you can't reason so I totally understand.

That 'mordern and largest' airport is not handling even a quarter of what JKIA is handling. It is not even rated anywhere. JKIA is rated in the top ten in the continent

If BRT is the mordern transport you are referring to here, even Nairobi is building one.

Nairobi has more five-star hotels than Dar and this has been proven here so many times so I don't know what luxury mean to you.

I would love if you could list those 'regional hospitals' and where it is stated that they are regional hospitals.

And lastly, you can bring that endless list as well, I would love to know what it is

It's a GAME OVER!
Tuoneshe sehemu munajenga BRT ukipata nitag plz😁😁😁😁😁 we expect likoni bridge imeanza kuzungumziwa sasa ni 30yrs ago😁😁😁
 
Nataka unipe hapa sample ya nyumba za warangi,waarusha, wanyakyusa etc .usiwe kilaza Tanzania nzima nikitembea design ni ile ile tu sijawahi ona sijawahi ona mkoa wa Kilimanjaro ukiwa tofauti na mkoa wa iringa au mbeya au hata Dodoma, wapwani wa Tanga na wale wa mtwara Lindi nyumba zao ni design moja licha ya wao kua kabila tofauti.
Nenda makumbusho ya Taifa kipo kijiji kabisa kikiwa na kila nyumba ya kila kabila au Google kijiji cha makumbusho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuoneshe sehemu munajenga BRT ukipata nitag plz😁😁😁😁😁 we expect likoni bridge imeanza kuzungumziwa sasa ni 30yrs ago😁😁😁
BRT denotes nothing, everythink in Kenya is run by the private sector. Our economy is not centralised like yours.
 
I made a mistake when I wrote BRT instead of SGR in the first point. Anyway, it's interesting that you only picked on BRT and deliberately decided to give the other points a wide berth. Why? My guess is as good as everyone else's.

Nairobi is building a brt system. Hiyo ya lipstick was an afterthought, we didn't need it at that time otherwise it could have been included in the design of Thika road. But this reminds me, I thought you are a 'travelled man' as you have always claimed here. Haven't you seen lipstick BRT systems even in developed cities? Ama you are a travelled man just within Dar is slum?

Talking of BRT, this is the first phase of Nairobi brt system under construction View attachment 1353143View attachment 1353144View attachment 1353145

Can we now talk about the other points that you deliberately decided to avoid? I have a few minutes left
Oh, we can talk for as much as you want. Also, aren't these photos from last year? Can you bring us something fresh?
 
Sio kwamba hamuwezani nayo ni kwamba hamna sehemu za kujenga wala uwezo huo😂😂😂
Well planned na mmezungukwa na slums kila kona,
Tuna ifahamu Nairobi na Kenya nzima nje ndani,
Unaishi bedsitter ambayo harufu pekee ya mdomo inatosha kuharibu hali ya hewa 😂😂😂
Unafikiri sisi ni kama nyinyi who live in denial? No we don't. Nairobi has slums and that's a fact. Ukitoka nje ya hizo slums, Nairobi is organized and planned, unlike your glorified fishing village that has dream houses in every available space. Nje ya slums za Nairobi huwezi kutana na huu uchafu.
Screenshot_20190801-183703.png
Hata utembee hadi wapi huwezi pata hata kwa dawa. Dream houses indeed! 😂 😂 😂
 
Sijawahi ona mchina akinyongwa katika nchi yoyote ya Afrika hata kusikia tu,tuwe wakakamavu Kama watu weusi na tusimame kuhesabiwa, sijui nchi zetu zinakwama wapi zinakua dhaifu Sana hadi watu wetu wanatendewa unyama huu, Inakua aibu kwa mtu mweusi maana huwezi pata mwamerika au hata muingereza ananyingwa katika nchi ya kigeni.
Huwa tukiwaambia hamjui kitu kuhusu nchi yenu ni kweli kabisa hamjui,
Mwaka 2009 wakenya walinyongwa China kwa mambo hayo hayo ya drug trafficking while others faced life imprisonment,
Na 2015 Unakumbuka tena ni nini kilimkuta mkenya mwenzenu
Haya mambo sio mazuri hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kuna makala nimetoka kusoma ,barabara nyingi kenya zina mashimo hadi mjini katikati, kingine suala la vyoo Ni nadra esp kama unasafiri umbali mrefu mfano kutoka mombasa kwenda central kenya umbali wa 700km watu wakibanwa na haja wanatafuta vichaka kujisitiri...
Mido inkamu za kipumbavu kama hizi zinachosha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huu ndio ukweli,
Watakuja kukupinga na picha zilizopigwa kitambo 😂😂😂
 
Unafikiri sisi ni kama nyinyi who live in denial? No we don't. Nairobi has slums and that's a fact. Ukitoka nje ya hizo slums, Nairobi is organized and planned, unlike your glorified fishing village that has dream houses in every available space. Nje ya slums za Nairobi huwezi kutana na huu uchafu.View attachment 1353150 Hata utembee hadi wapi huwezi pata hata kwa dawa. Dream houses indeed! 😂 😂 😂
Utasumbuka sana 😂😂😂
Headquarter za slums duniani.
 
Oh, we can talk for as much as you want. Also, aren't these photos from last year? Can you bring us something fresh?
Last year was only 40 days ago to be precise. How much progress do you expect in 40 days? I can see you are avoiding the other points I wanted us to tackle and have decided to delve just on brt.

Well, brt is under construction, just in case you didn't know. That's done and dusted. I thought you were going to tackle the other points but now that you won't, I will leave to lick your wounds as you plan a comeback. Good afternoon
 
Sijawahi ona mchina akinyongwa katika nchi yoyote ya Afrika hata kusikia tu,tuwe wakakamavu Kama watu weusi na tusimame kuhesabiwa, sijui nchi zetu zinakwama wapi zinakua dhaifu Sana hadi watu wetu wanatendewa unyama huu, Inakua aibu kwa mtu mweusi maana huwezi pata mwamerika au hata muingereza ananyingwa katika nchi ya kigeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Africa sijui tunakwama wapi ama ni huruma tuko nayo sana!
Hivi kweli wa africa wanaoishi kule China huwa wanawachapa viboko Wachina ama ni huku Africa tu ndio Wachina huwachapa viboko wa africa?
 
Back
Top Bottom