Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawanyongwi!! Get the difference
 
Kwani sikiwa best inaathiri nn uzuri wa karen au muthaiga?unaujinga mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mjinga coz unasema mambo ambayo hayapo. Where did you read that Masaki na Oysterbay are among the best in Africa? On other hand, I can prove to you that Karen is one of the best in the world!
 
wekeni hata makeup kidogo maana pana tisha, kumbe Nairobi ni hub ya mambo mengi😂
 
Wewe ndio mjinga coz unasema mambo ambayo hayapo. Where did you read that Masaki na Oysterbay are among the best in Africa? On other hand, I can prove to you that Karen is one of the best in the world!
Unapenda league za kitoto sana...uliwah lini kutoka apo kenya ukatembea sehemu zingine?swali rahisi nililokuuliza uzuri wa masaki unaathiri nn uzuri wa karen?nukiitwa mjinga jua kuna sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hivyo Tz ni Middle income? Kwa kigezo kipi na wapi ushahidi usio was mdomo?
Hehehehee unarukia mada, soma kwanza ujue tulikuwa tunazungumzia nn, kuhusu Tz kuwa middle icome nshakujibu kwa id yko ya vicking23 kwmb miaka c mingi tutakuwa middle icome country na ndpo utakapofunga account humu urudi fb ulipotokea [emoji3][emoji3]
 
Unapenda league za kitoto sana...uliwah lini kutoka apo kenya ukatembea sehemu zingine?swali rahisi nililokuuliza uzuri wa masaki unaathiri nn uzuri wa karen?nukiitwa mjinga jua kuna sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetembea sehemu nyingi tu. Ligi ulianza wewe mwenyewe when you said that Masaki inatusumbua akili sisi wakenya. I am just putting you in your right place. Usianze vita usiowezana nayo. Masaki peleka ipigane vita na Lavington na Kileleshwa
 
Wewe ndio mjinga coz unasema mambo ambayo hayapo. Where did you read that Masaki na Oysterbay are among the best in Africa? On other hand, I can prove to you that Karen is one of the best in the world!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jokes as usual.
 
Kina Geza Ulole MOTOCHINI walituimbia huo wimbo back in 2011, 10years later Kenya Sasa ni mwenyeji was Middle income na wakatati mtaingia humo tutakuwa an Industrial Nation. Endeleeni kuota, siku moja mtaingia.
 
Nimetembea sehemu nyingi tu. Ligi ulianza wewe mwenyewe when you said that Masaki inatusumbua akili sisi wakenya. I am just putting you in your right place. Usianze vita usiowezana nayo. Masaki peleka ipigane vita na Lavington na Kileleshwa
Masaki inapigana vita na kileleshwa kwa lipi? compare na suburb zilizopo beach sio uko nairobi msituni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…