Tulifikiri Tz ni Nchi ya asali na mziwa kumbe ni ya umasikini na elimu duni.Wakenya wapo brainwashed sana kwamba wao ni bora sana lakini uhalisia they are worst than any other, waishukuru sana jf inawafungua macho kuhusu Tanzania
Elimu yenu nyie ni kujua tu lugha ya mkoloni na rushwa 😂😂Tulifikiri Tz ni Nchi ya asali na mziwa kumbe ni ya umasikini na elimu duni.
Sio ile ya ze ze ze, laiti tlaki, Air hostages na kukamatiwa ndege...hivi ATCL inafika South Africa kweli?Elimu yenu nyie ni kujua tu lugha ya mkoloni na rushwa 😂😂
Tulifikiri Tz ni Nchi ya asali na mziwa kumbe ni ya umasikini na elimu duni.
Hahaha! yaani wakenya mna shida nyie! 😱muda sio mrefu mtaanza kujifunza kichina na kuwa lugha yenu ya taifa la Kenya Republic of China 😂😂😂Sio ile ya ze ze ze, laiti tlaki, Air hostages na kukamatiwa ndege...hivi ATCL inafika South Africa kweli?
Juzi wali fungua uzi huku wakijitutumua kuwa serikali yao imeanza mchakato wa kuwarudisha nyumbani leo mbona ni kinyume tena 😂😂😂
Wao watakuletea estates zinazo fanana na hostels za old-shy sec 😂😂😂
Hahaha! yaani wakenya mna shida nyie! 😱muda sio mrefu mtaanza kujifunza kichina na kuwa lugha yenu ya taifa la Kenya Republic of China 😂😂😂
Kama ni bongo tayari huyo mchina angekuwa ashaambiwa apaki vilago vyake asionekane tena within 24hr 😂😂😁😁
Kwanza anaanzaje kumpelekesha mbongo kijinga nanma hiyo 😂😂😂Kama ni bongo tayari huyo mchina angekuwa ashaambiwa apaki vilago vyake asionekane tena within 24hr 😂😂😁😁
Yaani mchina kwao ni kama Malaika flani ivi 😁😁Kwanza anaanzaje kumpelekesha mbongo kijinga nanma hiyo 😂😂😂
Yaani uniletee ujinga kwenye nchi yangu.
Wanaelekea kuwa watumwa kwenye nchi yao,Yaani mchina kwao ni kama Malaika flani ivi 😁😁
Pole kwa hasira🤣🤣🤣🤣Disorganized and ugly CBD
Alaa, sikujua. And there's a time when Munga of Equity was one of the biggest shareholders at BRITAM. Na bado he owns a couple of empty plots hapo Upperhill. I can bet he's one of the reasons structures like Pinnacle cannot be built within this decade.The building is owned by britam , equity is a tenant doesn't own the building.hope in future they will build there own
Sent using Jamii Forums mobile app
What's the matter with this picture?