Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,745
Wamerudia mchezo wakuchoma shule sasa
wakati mwingine pia si kuchoma bali majengo mengi ya public hayafanyiwi check up ya mifumo ya umeme.
Wamerudia mchezo wakuchoma shule sasa
Chuma hakitoki wanakifata wnyw kubembeleza kumkopesha![]()
awapii!
Yes kuna nyumba ya 26 floors Eldoret ama unataka tuiassume? Infact hii battle inafaa kua Eldoret vs Dar sababu apart from the 3 ugly towers Dar ni uswazi mtupu unlike Eld which is better planned. Population tu ndo mnashinda.So nyumba moja yenye 25 floors ndio inashinda nn au unataka tuzame kwenye mambo muhimu kama hotels alaf tuone kama utatoka humu ndani![]()
Today prove us wrong that ulienda shuleawapii!


, count the floors kama ulienda shule kweli. Uko serious? investors sio waKenya? wenye kuishi hapo sio waKenya? mtaruka ruka lakini ukweli waonekana. What the hell is development then? naona next mkisema tutoe Upperhill kwa list juu imekaribia Kajiado juu wengine walisema Two Rivers iko Kiambu

mwingine anasema eti nyumba ya gorofa 26 Eld sio kitu kwa Kijiji cha Moshi. Wana shida ya illiteracy Hawa Sawa Mr know it all. Tafuta anywhere inasema it's 24floors ulete hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishakuambia hatungekuwa na huo uwezo wa kulipa hatungepewa.Kama mtu angekuwa hapendi mikopo analipa then hakopi tena sasa ninyi mnapenda mikopo na uwezo wa kulipa hamunaKwasababu mmeshazoea kukopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu kweli wewe hebu itazame hio pic ilivopigwa iko sawasawa kweli???🤣🤣🤣🤣CBK, Ichoboy you said KICC is taller than than CBK? I think you can now see for yourselfView attachment 1347681
Sent using Jamii Forums mobile app
27 floors hapa hutadanganya mtu go east go west
So inasaidia nn kwamba ni mji Bora ukiwa na gorofa moja ina 25floors🤣🤣🤣🤣🤣Yes kuna nyumba ya 26 floors Eldoret ama unataka tuiassume? Infact hii battle inafaa kua Eldoret vs Dar sababu apart from the 3 ugly towers Dar ni uswazi mtupu unlike Eld which is better planned. Population tu ndo mnashinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moshi Kuna hospital kubwa ya kisasa inaitwa KCMC ina 950 beds hilo kwanza ulitambue alaf hapo hapo kuna medical university kubwa sana sidhani kama ipo medical university kubwa out of nairobi🤣🤣🤣👇👇
ksp.ac.tz
Today prove us wrong that ulienda shule27 floors hapa hutadanganya mtu go east go west


, count the floors kama ulienda shule kweli..