Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jaribu kuficha ujinga wako we mkora wa mathare. Eti we can afford to rent or buy, kama mnashindwa kuafford chakula mpaka mpige hodi kwa jirani mtaweza afford estates? hizo wamejazana foreigners, most of you mpo Kibera and its near surroundings na you cant dare to post pure kunyans settlements, shame.
Wacha kutumia kichwa kubebea meno na mate peke yake. Its good to reason sometimes.
 
Naona barabara imepita katikati ya miti tu. Eldoret kuna barabara mingi kama hizo.
Ebu nioneshe nyumba ya floor 25+ hapo kijijini moshi?
Basi utakuwa na matatizo ya macho, kama huna rudia kucheki pages hapo nyuma 😎😎
 
Mnadhani Mombasa ni ya kuchezea lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Mombasa hii au nyingine😁😁😁👇👇👇
images (31).jpeg
 
Naona barabara imepita katikati ya miti tu. Eldoret kuna barabara mingi kama hizo.
Ebu nioneshe nyumba ya floor 25+ hapo kijijini moshi?
So nyumba moja yenye 25 floors ndio inashinda nn au unataka tuzame kwenye mambo muhimu kama hotels alaf tuone kama utatoka humu ndani😁😁
 
Back
Top Bottom