Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Impressive but still average. I see such in like every big town. Leta zingine kama hizo tano kutoka Mwanza na uweke majina yake hapa
Something coming up 😘👇
2283122_2012763_gsengo_2___Bj4kWIgHdpt___.jpg
 
Huelewi mambo ya Kenya hataa. Miji kama Malindi, Watamu na Lamu ndio tunaweza sema haziko related na Mombasa hata kidogo lakini for Diani, you can make all arguments but it's part of Mombasa, only difference is where they pay their taxes
Diani iko kwale county sasa unalia nn hapa😁😁😁 hvi wakenya hata vitu vya upuuzi munataka ubishi sasa walioiweka diani kwale walikua wapuuzi au😁😁😁👇👇👇
Screenshot_20200205-191918_Maps.jpg
 
wacha kuharisha sasa its not my business to know whether was given on political grounds or not!

Location-of-Kwale-Mombasa-and-Kilifi-Counties-Source-Ogega-et-al-2016.png
Why do you think Mombasa has such a small area compared to Kilifi and Kwale yet they're all considered counties?
 
Back
Top Bottom