Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by common people of dar es salaam.
 
Tanzanians walipata kichapo cha mbwa kwa real estate hehehe. Sasa ni kujitetea na random houses. ...hizo ndio runda ya Tanzania. Ei...hawa ndugu zetu wa LDC wana issues kweli.....reality ni that country bado iko chini sana kimaendeleo. Building a city needs good plan and hard work.So no excuses please Mr kadoda.....hata Kampala is better planned than your Dar. What a shame!
 
Na hizi ndio wakenya huita informal settlements sababu ukipita kwenye ndege juu zinaonekana hazifanani kama mabweni ya Nairobi..
And in fact wabongo ndio tunajua utamu wa Kujenga Nyumba yako (A house of your dream)
Vijana Tujenge, tujenge aisee Maisha ya Mabwenini tuwaachie wakenya.
 
hapa hakuna cha devil wala leteni hapa nyumba za raia halisi wa kikenya.....wanapoishi kwa hapo nairobi siyo mnaleta midomo tu kutwa kuleta apartment a.k.a hostel nyumba nyingine inamaana hamnaga hapo nairobi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3]
 
kweli kabisa yaani mtu elimu ya secondary,chuo nipo bwenini pia hata napoishi kufanane na hostel si upuuzi huo........yaani hao wakija huku ni wahindi wakikenya a.k.a wakimbizi maana wapo kwao lakini hawana makazi ama ardhi
 
Denial. ..Denial..Denial. ...
excuses. ..excuses. ...excuses
Kwa real estate hata Mombasa is way much ahead. ....there are millions of such ordinary houses mnapost hapa in Kenyan villages. ...from embu to karachuonyo to narok to marsabit................tembea Kenya uone how middle income countries look like
 
Itakuwa na ww unaishi kwenye dormitory ,Tanzania heshima ya mwanaume kujenga nyumba yake binafsi sio kupanga kwenye dormitory kama izo za Nairobi apo itakuwa kwa Tanzania unaji abisha uanaume wako
 

Utawaonea bure
 
Leta picha bwana. Mbona wagumu kuelewa nyie??
We need houses owned by Local Nairobians

Forget those hostels/Dormitories.
Kindly bring photos in here.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
kweli kabisa yaani mtu elimu ya secondary,chuo nipo bwenini pia hata napoishi kufanane na hostel si upuuzi huo........yaani hao wakija huku ni wahindi wakikenya a.k.a wakimbizi maana wapo kwao lakini hawana makazi ama ardhi
Wapuuzi, huu Uzi sasa watauona mchungu, kesho najaza servers za JF,

Asante Kadoda11 for this.

Safari hii hawachomoki.
Mwanaume mzima unajivunia kupanga,
Halafu bora upange walau nyumba ya Kueleweka, MTU anapanga bweni halafu anasimama na kujinasibu mbele za Wanaume.. Dadadeki.
 

punguza povu...hayo ni maneno ya mkoasaji.embu rudia tena kutazama hizi picha hapa chini uzidi kutoa povu la kisirani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata vijijini tumejenga,
And in fact ukiona mtu amejenga Dar basi more likely alishajenga kwanza kijijini,.
Hatupo mamburula kama nyie mnavaa masuti makubwa, mnachomeka na jua kali halafu mnaongea kingereza huku mnaishi kibera au mabwenini.
Shenzi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…