Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafuta suburb kama hii kwanza mombasa👇👇👇😁😁😁😁😁
1548067_19955887_10209594898408501_2266029916323921865_o.jpg
Mwanza-erial-1.jpg
 
Nadhani swala la wao kujenga ni ngumu kila picha wanapost apartment tuu. Huku kwetu mtu kujenga nyumba ni swala la kawaidaaa sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena vibaya sawa kwasababu ardhi zinamilikiwa na politicians pamoja na investors na kidogo wale wafanyabiashara wakubwa, ndio maana ukisiia 70% of Nairobi residents wako slums usishangae😁😁😁
 
Back
Top Bottom