Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
IMG_20200202_223945.jpg
 
Kiukweli ATCL inaenda vzr ipo ni lazima ionekane bdo inapata hasara kutokana na ukweli kwamba imerithi madeni ya nyuma mfano sh180bill hvyo inaelekea kuzur na soon itakuwa tishio kwenye ukanda huu
Tena sana kutoka 24b mpaka 104b ni jambo kubwa sana na uzuri all domestic flights wamechukua wao na sasa wameanza international flights hapo pia wajiweke vzr kama walivojiweka kwenye domestics
 
Air Tanzania 3 yrs = 11 brand new aircrafts
Kenya airways 30 yrs = 3 aircrafts

Alaf wanakuja kutafuta mchawi jamii forum[emoji16][emoji16]
KQ 55 international destinations, ATCL 5 international destinations.
KQ revenues ksh58b, ATCL revenues Ksh 4b.
JKIA 7.5m Passengers per year, JNIA 1.5m passengers per year.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KQ 55 international destinations, ATCL 5 international destinations.
KQ revenues ksh58b, ATCL revenues Ksh 4b.
JKIA 7.5m Passengers per year, JNIA 1.5m passengers per year.

Sent using Jamii Forums mobile app
One year revenue from 24b to 104b
Screenshot_20200202-225804_Chrome.jpg








Passengers from 4000 to 45000 within one year
Screenshot_20200202-225819_Chrome.jpg








17 destinations 10 domestic and 7 international within 1 yrsπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshot_20200202-225834_Chrome.jpg
 
KQ 55 international destinations, ATCL 5 international destinations.
KQ revenues ksh58b, ATCL revenues Ksh 4b.
JKIA 7.5m Passengers per year, JNIA 1.5m passengers per year.

Sent using Jamii Forums mobile app
58b zinaishia kwa wenye ndege zao alaf munabaki kutumia pesa za tax payers over 16b kulipa madeni ambayo hamujamaliza kulipa😁😁😁😁😁 na on top of that kila mwaka lazma mfukuze na kupunguza wafanyakazi

Naona hata 2020 mumeanza poa
 
Kama hamjashindwa kulipa deni kwanini mpaka mkapewa tahadhari na deni lenu linazidi kuongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Tahadhari mtu hapewi eti kwa sababu kuna uwezekano atashindwa kulipa deni. It's just a way of ensuring you do not borrow above what's considered healthy, if you know what I mean. Tunapewa mikopo kwa sababu tuko na uwezo wa kulipa. Hatungekuwa na huo uwezo, hatungepewa hizo mikopo in the first place. Hata benki ukienda kuchukua mkopo they first look at your credit history and ability to pay. You can't get a loan from any lender if there's a high chance that you'll default, or if you've defaulted before. Sisi sio kama nyinyi mnaosamehewa madeni. Uwezo wa kulipa deni tunayo
 
Unanionesha 58b za wenyewe 😁😁😁 kazi yenu ni kuchukua pesa za taxpayers kufidia madeni ya kq😁😁😁😁😁
Enyewe wewe inahitaji tu maombi. Am sure even your fellow Tanzanians are wondering how you sometimes reason. Hata mtoto wa chekechea has a better understanding kukuliko. 58b itakuwaje ya wenyewe wakati hio ndio revenue KQ made? Unajua maana ya revenue kweli wewe kilaza? Ni mapato, kwa lugha ya kiswahili. As I always say, you are the most stupid and misinformed Tanzanian in this forum
 
Jamaa amekosea kidogo, ni the second "deepest" lake in the world.
Hata mimi nilishangaa sana kuhusu hiyo Tweet. What baffled me most is how Tanzanians were carried away by that misleading Tweet. The deepest lake in the world is Lake Baikal in Russia which also doubles as the oldest in the world
 
Back
Top Bottom