Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Have you ever heard of something called commas, full stop, question marks etc? Kama ushaiziskia then make good use of them. You can't write a whole story without even placing a comma or full stop. Because of that, I can confidently assume that you didn't attend even kindergarten.

Sent using Jamii Forums mobile app
U r lost
 
Embu soma hapa kwenye hii screen shot aliyoiandika ama hujui kusoma. View attachment 1344366
Mkuu usipotezwe maboya na hawa wauni wa kibera, jibu lao ni fupi tu kwamba Tz kwa ss hatu deal na wasanii wa nje mziki wetu unajitosheleza kivyote, huo ushamba wa kuita wanamuziki kutoka nje tulishaacha, wao lazima walete wanamuziki kutoka nje kwasabu mziki wao haueleweki, sisi kwny shoo yyte apa bongo ata ukiita chriss brown watu hawakuelewi ila weka kiba weka mondi party imeisha
 
Kenya ni shamba la bibi ndio maana wasanii wa nje wanakuja kujichotoea tu na kuwaacha wasanii wa Kenya wakilalamika kulipwa pesa kidogo.
 
Kachange gear angani [emoji3][emoji3] sikia ww nikwambie watz wa ss are very crazy with their home artists ukitaka kupata hasara leta msanii wa nje apa bongo
Nyinyi ndo mmechange gear. He asked about 2019 mnaanza mambo ya 80s
 
Bigger than Nairobi Terminus!
EFJTgY8XkAAf1gk

EFJThQYXYAACiVT

EFJTiLyXoAAtuwE

EFJTjI5X4AASsjZ
Unawatoa raha ujue😁😁😁😁
 
Prove that Kenya imewahi shindwa kulipa deni kana nyinyi. What IMF and World Bank said was just a word of caution. They didn't say that Hatuna uwezo wa kulipa. We are not LDC inayosamehewa madenj, lanes please
Kama hamjashindwa kulipa deni kwanini mpaka mkapewa tahadhari na deni lenu linazidi kuongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom