Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ATCL with 11 aeroplanes only made revenues of ksh4b while KQ with "3" aeroplanes as Ichoboy huwa anasema hapa made ksh58b. Is there a problem hapo?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

So unafkiri wale wanaomiliki 37 aircraft munawalipa nn au munawalipa mawe😁😁😁😁 kwenye hio 58b pesa yote inakwenda kwenye mifuko yao ndio maana kq loss ina miaka 8 mfululizo ni akili tu bro 😁😁😁😁😁😁
 
Laana kubwa hii revenues ksh58bill while operating expenses ksh61bill[emoji3][emoji3] failed state
Hio ndio maana ya loss sasa yani pesa yote ya revenue inaenda kwa wenye ndege zao wao wanabaki na hasara na kutumia pesa za tax payers kulipa madeni shirika linalokufa leo miaka 8😁😁
 
So unafkiri wale wanaomiliki 37 aircraft munawalipa nn au munawalipa mawe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwenye hio 58b pesa yote inakwenda kwenye mifuko yao ndio maana kq loss ina miaka 8 mfululizo ni akili tu bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Akirudi unitag plz [emoji3][emoji3]
 
My friend Ichoboy, did you inherit stupidity from your parents or it's just mutation?[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe ushaiona buashara inajiendesha without revenues? How will you pay your expenses without having revenues?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimekwambia unashangaa kuona airtanzania imeingiza revenue from 24b to 104b huoni ni gap kubwa sana imepiga na hatua kubwa sana maana yake pia kua uwezekano wa faida ni mkubwa sana ndio maana nikakwambia no profit without revenue 😁😁😁😁😁😁 sasa imagine from 24 to 104b do u think it's a joke😀😀😀
 
My friend Ichoboy, did you inherit stupidity from your parents or it's just mutation?[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe ushaiona buashara inajiendesha without revenues? How will you pay your expenses without having revenues?

Sent using Jamii Forums mobile app
ichoboy01 kakujibu vzr sn sema huenda hujamwelewa au unalazimisha kutomuelewa, amekujibu faida inapatikana kwenye mapato ambayo ww unaita revenue.

In Swahili tunasema Faida = Mapato - Matumizi
Ss huwezi kupata faida km mapato yanasuasua.
 
Hehe kaelewa vzr anajitia ujinga tu😀😀😀 na hapo anatakiwa afkiri tumetoka kwenye mapato 24b mpaka 104b yani karibu 4 times ndio maana namwambia hata uwezekano wa faida ni mkubwa sana tofaut na wao kila mwaka wanamtafuta mchawi 😁😁😁😁😁
 
ichoboy01 kakujibu vzr sn sema huenda hujamwelewa au unalazimisha kutomuelewa, amekujibu faida inapatikana kwenye mapato ambayo ww unaita revenue.

In Swahili tunasema Faida = Mapato - Matumizi
Ss huwezi kupata faida km mapato yanasuasua.
Ww imagine 6 months tayar washatengeza loss ya 8.5b yani hzo ni pesa za taxpayers zinaenda kulipa madeni ya wenye ndege zao😀😀😀😀
IMG_20200202_223736.jpg
 
Kiukweli ATCL inaenda vzr japo ni lazima ionekane bdo inapata hasara kutokana na ukweli kwamba imerithi madeni ya nyuma mfano sh180bill hvyo inaelekea kuzur na soon itakuwa tishio kwenye ukanda huu
 
Back
Top Bottom