Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JKIA is ever very busy
jifunze kiingereza kwanza kama huezi elewa. The fact remains JNIA is just a single terminal ya JKIA. If numbers cannot show you that then rudi darasa la hisabati pamoja na kiingereza
Screenshot_20200202-091656_Flightradar24.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukisema hapa tunaonekana wajinga😀😀😀😀😀😀👇👇👇👇 mwengine anatuambia Nairobi expressway imeanza ujenzi labda kwenye ndoto, projects almost zote ni white elephant ikiwemo SGR😀😀😀😀etc

 
Sikukwambia Teargass yale yote yalikua porojo lakini hili ndio ilikua point ya mabeberu👇👇👇
Alaf anakuja humu mwafrika anatetea ushoga
serious yani mm namuunga mkono makonda kwa asilimia zote



 
Wakenya huko nyuma tuko sawa au niongeze volume 😀😀😀👇👇👇🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

 
Mnatia aibu mnakopa pesa kwa ajili ya matumbo yenu ndo maana vitu vingi kwenu ni vya gharama kubwa ssna
Hata ikifika 1000% I don't care cause sisi nd'o tutalipa and I don't remember anywhere Kenya washaishindwa kulipa deni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ungekuwa ujashindwa kulipa deni husingekuta ongezeko la deni lenu kuwa kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom