MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,088
- 35,430
Makonda hana Acc yeyote nje ya Instagramila google search kila mtu anamtafuta Makonda jamaa kaamua ku-suspend accounts zake!
Makonda hana Acc yeyote nje ya Instagramila google search kila mtu anamtafuta Makonda jamaa kaamua ku-suspend accounts zake!
According to Google Earth ni mwaka mmoja hadi mitatu,Then ngoja hizo miaka umetaja. What do you want me to edit nikufanyie Mr. "I know Google inside out"?
A GDP raised by inflation ndio huwa mnajisifia 😂😂😂😂sijui kama mna economists wazuri!!!So tiny... with a GDP almost the same size as Tanganyika and Zanzibar combined. So tiny yet still remains the most important city in this region in all important sectors
Tanzania Kuna miradi kibao inaendelea hadi wakenya wa humu wameanza kuogopa wengine wameamua kusurrender
Ndio maana chuki inaongezeka daily.
A GDP raised by inflation ndio huwa mnajisifiasijui kama mna economists wazuri!!!
You are using so many words just to say the same things I have been saying here today. Updates take long just like you are saying ndio maana nikasema hata nifanye hiyo editing saa hii, you won't see it coz it will wait for the next update ndio iweze kuonekana.According to Google Earth ni mwaka mmoja hadi mitatu,
Hata sikumaliza kutype nilikuwa na drive,
Google map hutumia satellites zingine kama Google Earth but hizi pic huwa zinafanyiwa updates mara kwa mara, Hautaona changes ya moja kwa moja na kunaweza kuwa na kiwango cha hadi miaka michache kati ya picha ya satellite unayoona kwenye map yako na njia ya eneo linaloonekana kwenye mitaa halisi kwa hiyo swala lako la kusema eti kila mtu anaweza kuingia Google map au earth na kuedit ni uwongo mkubwa kabisa,
Ingia then edit toa hizo slums za Nairobi mjuaji wa kishamba.
I am sure the number is very small now if any, about beggars is the responsibility of your weak administration, here we kill nearly all thieves and bandits from Kenya, the remaining few are suffering terribly in our prisons.
Sent using Jamii Forums mobile app


Ndege zote mlijimilikisha mpk ikabd rubani wetu mmoja mzalendo alipoamua kuondoka na Kandege kamojaMali zipi hizo? Hebu zitaje nikuumbue
Who has stopped you from raising yours. It's hardwork and sheer determination, not witchcraftA GDP raised by inflation ndio huwa mnajisifia 😂😂😂😂sijui kama mna economists wazuri!!!
I advise Kenyans not to post any more of our projects because tanzanians copy everything from us.Tuwazungushe tu Nairobi metropolitan area
Sent using Jamii Forums mobile app







inferiority complexYou are using so many words just to say ujinga,You are using so many words just to say the same things I have been saying here today. Updates take long just like you are saying ndio maana nikasema hata nifanye hiyo editing saa hii, you won't see it coz it will wait for the next update ndio iweze kuonekana.
About making edits, I had already told you to write an email to Google and file a complain why they made that provision coz hii kitu ni kama inakukera sana. It's their own creation, not mine so stop asking me so many questions that I am not in a position to answer. I do not work with Google to know why they made that decision to allow edits. Just in case you didn't read the previous links I sent you earlier, here it is again and it's from Google
Edit business information in Google Maps - Android - Google Maps Help
If you’re familiar with a place, you can provide feedback that helps Google Maps decide whether to change a place's information. Important: If you own or manage a business, learn how to fix yoursupport.google.com
You care tena sana tu that's why ukani quote 😂😂😂
Kuanzia asubuhi mpaka jioni cc tunapost miradi mipya wao wanapost majengo ya zamani with an excuse of not to disclose country's projects eti Tanzanians wamegeuka wachina leoYou care tena sana tu that's why ukani quote
Unafikiri sikufahamu humu ulivyo na wivu wa kijinga!
Ama Unafikiri sifahamu kuhusu kukwama kwa nusu ya miradi hapo Kenya.


Wakenya mmekwishaI knew you were going to mention this one.Ndege zote mlijimilikisha mpk ikabd rubani wetu mmoja mzalendo alipoamua kuondoka na Kandege kamoja
Hahaha 😂😂😂😂ndio maana nasema sizani kama mna economists wenye kuelewa GDP ya Nairobi in relation to the rate of inflation in the city, and I think hakuna mji mwingine East Africa wenye highest level of inflation kupita Nairobi that's why you have high GDP in your city/country isiyo aksi uhalisia wa maisha 😂😂😂GDP depends on a nations total output and the last time i checked Tanzania is nowhere close to us
Sent using Jamii Forums mobile app
Debts is 60%, Hahahaha, that means you remain with only 40%.GDP depends on a nations total output and the last time i checked Tanzania is nowhere close to us
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu zile picha mbili za update za ujenzi wa Sgr ziwekwe humu wamekosa raha kabisa 😂😂😂Kuanzia asubuhi mpaka jioni cc tunapost miradi mipya wao wanapost majengo ya zamani with an excuse of not to disclose country's projects eti Tanzanians wamegeuka wachina leoWakenya mmekwisha
Hii mada tuiche am sure huiwez hii mada nkianza kuorodhesha evils mlizozifny narudia tuiache tuendelee na battleI knew you were going to mention this one.
Let me give you a brief history of the Tyen East African Airways. The company was jointly owned by Kenya, Tanzania and Uganda with its headquarters being Nairobi. By 1970s, the company had a total of 16 aircraft. The company ran into serious financial difficulties in late 70s due to the deteroriating relations between the member states, among other factors. However, these financial difficulties deepened when both Tanzania and Uganda failed to pay their outstanding debts for the airline's operations, leaving Kenya to shoulder the burden alone, meaning Kenya had to become the airline's major (and only) creditor.
So in a nutshell, we only took over the assets of the company after cowards chickened out leaving Kenya with the burden of carrying their cross. We did not still anything from Tanzania or Uganda. They were (and still are) cowards who couldn't keep up with the pressure