Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani wiki hii Amelia sana sasa wao wamefika 70% uozo sasa anataka tufanane kwenye uozo 🤣🤣 do yale yale kisa wao wana slum za kutisha sasa anataka alazmishe na sisi tuwe nazo🤣🤣🤣
Eti kisa wamekopa pesa za kujenga mitungi yao ya changaa basi wanadhani kila mtu kakopa,
Eti kisa wana deni kubwa basi wanadhani kila mtu ana deni kubwa,
Yaani vitu vikishindikana kwao basi hudhani haviwezekani popote,
Mjinga mwingine anafananisha kariakoo sijui na upumbavu gani, hivi anafahamu kariakoo inategemewa na nchi ngapi 😂😂😂
 
Hehehe hii ni hasira sasa, Kenya ikifika 70% lini? Nangoja unishow that 70% please. Anyway, as I wait for 70% ya Ichoboy, here is Tanzanian 47% public debtView attachment 1341954

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok show me nasubiri hapa🤣🤣🤣👇👇👇
This is wat u posted😀😀😀
2291293_Screenshot_20200131-120512.jpeg
 
Eti kisa wamekopa pesa za kujenga mitungi yao ya changaa basi wanadhani kila mtu kakopa,
Eti kisa wana deni kubwa basi wanadhani kila mtu ana deni kubwa,
Yaani vitu vikishindikana kwao basi hudhani haviwezekani popote,
Mjinga mwingine anafananisha kariakoo sijui na upumbavu gani, hivi anafahamu kariakoo inategemewa na nchi ngapi 😂😂😂
Yani wajinga sana hawa wamefika kwenye uozo sasa anataka tufanane uozo 😀😀😀😀 hua wanajiona wako europe🤣🤣🤣
 
Ww unaeza amini thika highway ni mkopo kutoka China na wanalipa mpaka kesho😀😀😀😀😀
Ndio maana siku zote huwa nasema wewe hakuna unachoelewa. Thika road was funded jointly by African Developmen Bank and the government of kenya
 
Ndio maana siku zote huwa nasema wewe hakuna unachoelewa. Thika road was funded jointly by African Developmen Bank and the government of kenya
Whatever but ni loan 🤣🤣🤣🤣🤣 au niongeze volume
 
Usiwe bwege yule origi wa liverpool ni mbelgiji

Au kuna liverpool nyingine hapo dandora??
Unaumwa sana 😂 😂. Babake ni mkenya, mamake ni mkenya, ana jina la kikenya na anaongea kiswahili. Pole baba
 
Unaumwa sana 😂 😂. Babake ni mkenya, mamake ni mkenya, ana jina la kikenya na anaongea kiswahili. Pole baba
Lakini sio mkenya hata Obama baba yake ni mkenya lakini sio mkenya bro acheni kulazmisha mambo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanajisifu wana umeme mwingi, hapa vip tena??

Ni wapi tulisema tuko na umeme mwingi? We said we have high electricity connection than any other country in EA. That doesn't mean we have enough to meet our demands. The fact that we have high connections and we still importing should tell you something. But because you have a big head with a small brain that can't think, you won't understand anything
 
Lakini sio mkenya hata Obama baba yake ni mkenya lakini sio mkenya bro acheni kulazmisha mambo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Google something about dual citizenship. Maybe you'll understand. Obama doesn't have dual citizenship
 
Back
Top Bottom