Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
update Mwanza slipway construction n Mv Vctoria rehabilitation n Mv Mwanza Hapa kazi tu construction
hapo wameanza kusoma alama na sio mtambo wa gongo 😂one of my colleagues working at Yarp Merkezi posted this in his whatsapp status
View attachment 1339215
View attachment 1339216
Blue towers za Nairobi Au vpSome reviews on GTC skyline View attachment 1339525View attachment 1339527View attachment 1339528View attachment 1339529View attachment 1339530View attachment 1339532View attachment 1339534View attachment 1339535View attachment 1339537View attachment 1339538View attachment 1339539View attachment 1339541
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio Lengo kuu kwasababu mradi mzima utazungushiwa uziowataelewa tu kidogo kidogo
afu nafikiria hizo barabara pemben mkandarasi alizozijenga kwa mda.. kwann serikali baada ya mradi kuisha..isijenge barabara ya rami ya njia mbili tu (two lane roads) ili kurahisha usafir wa kwenda vituoni.. pia hata kufatilia mradi usihujumiwe (ulinzi)???
New Dodoma Bus Stand
Mwisho wa siku utaishia hapa😀😀😀👇👇👇Enyewe Mombasa na daresalaam zinaendana sanaView attachment 1339688
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kariakoo tu inamalizana na iyo city yenu lol tena kariakoo ina nyumba ndefu zaidiEnyewe Mombasa na daresalaam zinaendana sanaView attachment 1339688
Sent using Jamii Forums mobile app
Rita iko ikulu? Kwanza hata hujui ikulu iko wapi kwa TanzaniaNilishaingia kitambo tu,leo nimekua pale Rita tower kuchukua cheti changu Cha kuzaliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kariakoo tu inamalizana na iyo city yenu lol tena kariakoo ina nyumba ndefu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
jaribu hii mkuu,mungiki kaiweka kenya namba 7 kwenye nchi salama afrika,halafu akatumia picha za dar eti ndio nai,watu wamemchana vibaya tena wengine hata sio Watanzania,hawa jamaa sijui wataacha kuwadanganya watu!Post tena mbona haifunguki![]()
