Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kaniekea international school mbili na mabanda ya kuku mawili alaf hakurudi tena tuendeleaa basi maneno mengi ya nnπŸ˜€πŸ˜€
una wazimu.....enda ujibambe..shule zote umeeka hakuna yenya hadhi ya international school ata moja
 
Umewashwa sana hapo na wivu mob
Unanyumba Nairobi au kazi in kusifu za wenzako. Hata mjomba wako hana hizo nyumba ni za mapirrates na wezi wa south sudan. Nenda upate tohara kwanza nduo ukue na akili
 
una wazimu.....enda ujibambe..shule zote umeeka hakuna yenya hadhi ya international school ata moja
Kwakwakwa rudi nyuma nenda ukaangalie vzrπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hasira za nn sasa ule muda wakujiona superior umeisha πŸ˜›πŸ˜›
 
hahahaaa man...ati hii ni international school.haifiki ata kwa jonathan gloag na loreto convent valley road...vi primary school.wanatia aibu
Hio sio international school kaka hio ni shule ya government, inaitwa mbezi secondary school international school nimeweka rudi nyuma page 879 na 880 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Usichange motion...usijifanye hujaelew
 
Hio sio international school kaka hio ni shule ya government, inaitwa mbezi secondary school international school nimeweka rudi nyuma page 879 na 880 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Usichange motion
hahaaa....ebu itoe inawatia aibu bana
 
Hii academy iko kasarani ndio international school ya bongo yawa.....
Good hope academy in kasarani
 
hahahaaa man...ati hii ni international school.haifiki ata kwa jonathan gloag na loreto convent valley road...vi primary school.wanatia aibu
Tena hio ni shule ya government πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Acha kujifariji izo zote ni tofali ,na mmrshindwa kupiga plaster na cement na rangi mmeshindwa Hayo majengo walioshindwa kupaka rangi Nairobi yamejaa sana
Sema kweli cement na rangi ni ghali sana
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ saedeque amekua kipofu Leo
Shule za dar zimewakanyaga mpaka munaanza kuleta shule nje ya mji wa nairobi
mko down..unaendelea kujiaibisha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…