Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utazunguka lakini mwishowe tutarudi tu hapa
tapatalk_1580039116225.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafananisha hii sio millenium fala wewe hio ni NSSF tower ilala ushaanza kuchanganyikiwa🤣🤣👇👇👇👇👇View attachment 1335546
Wakenya wameanza kuchanganyikiwa na dar kupitia picha tu,sasa wakija dar si watakuwa wanapotea potea tu kila mara..
Maana kuna nyani mmoja hapo juu kachanganya ghorofa za kariakoo na upanga😂😂🤣🤣 yaani haelewielewi ipi ni kariakoo,ipi ni upanga
 
Back
Top Bottom