Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati wanataka kufananisha Kilimani na takataka kama kijiko na nyama (kijitonyama)

Here is Kilimani.

View attachment 1335368
2284731_0c7322aef15a978f7c3787560a10e76f.jpg
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Ichoboy let me ask you one quiz before I castrate you. Millenium Tower inapatikana wapi between Ilala, Upanga and Kijikonyama?
Millenium ipo kijitonyama tena iko mbali sana na ilala na upanga yani kutoka kijitonyama kwenda ilala ni zaidi ya km 20 na kutoka upanga kwenda kijitonyama ni zaidi ya km 15
 
I can pick a million pictures from the internet and claim that's daresalaam.........stop getting desperate by throwing any random picture over here.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye dar es salaam yetu wenyewe tunaijua,we posti picha yoyote...ila kibera ni kibera..hakuna asiyejua kibera,hiyo ni globally known as the best slum
 
Millenium ipo kijitonyama tena iko mbali sana na ilala na upanga yani kutoka kijitonyama kwenda ilala ni zaidi ya km 20 na kutoka upanga kwenda kijitonyama ni zaidi ya km 15
Sijakuambia uniandikie InshaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. I have only asked where Millenium tower inapatikana.
 
Hehehe I like venye leo unakubali haraka[emoji23][emoji23][emoji23]. So next time tukisema Kijitonyama ni size ya Uthiru msipige kelele, sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kujipa matumaini siwez kukulaumu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰iko pale pale
 
Back
Top Bottom