Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli nimeona shule wameziweka apa ni aibu kubwa shule ata Ku afford kupaka rangi wameshindwa naona rangi na cement Kenya zitakuwa bei mbaya sana
Huwezi paka rangi tofali ya kuchoma kwasababu tofali ya kuchoma hata ukipaka rangi inakaa tofali ya kuchoma haileti picha nzuri..hawawez jenga shule kwa cement blocks kwasabbu cement bei mbaya sana kenya
 
ha haa
.......hapo sawa
 
Ata least hii wameweza kupaka rangi , sio zile uchafu za mwanzo hazina rangi matofali nje nje zile za mwanzo za kimaskini sana hii inaonesha ni ya watoto wa ma bwanyenye
zile zawakoloni.....
 
Hiyo feza ndio inakaa a standard high school.It's quite something I must admit
 
Weka shule zilizo pigwa rangi ,hizo ambazo ata rangi wameshindwa kupiga zipotee zina leta shame kwa Taifa
dude ungekuwa unaelewa royalty hungetoa comment lame ivo. that school looks like a palace or castle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…