Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi kufanikiwa katika kila aina ya sports,hiyo ni fact.. wabongo tunapenda sana football na ndiko tunakowekeza..
With that logic, you understand why we don't have any other big stadium in Kenya yet? or don't have a club that can seriously compete at continental level?
 
Acha ujinga wewe, say whatever you wanted to say in Swahili. That's what I meant by the word "translate in Swahili". Let's say sielewi Kingereza, how will you tell me that sentence in Swahili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Oya mbona mgumu kuelewa??!!..

We kama unataka kutumia kiingereza,tumia
na kama unataka kutumia kiswahili,tumia
na kama unaona inafaa kutumia vyote kama ulivyofanya hapo,fanya

Lakini huwa tunapokuwa tunazungumza lugha zaidi ya moja,usiwe una-translate..hiyo ni dalili ya kukariri lugha!utafeli..
 
Sawa Mr Potty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kufanikiwa katika kila aina ya sports,hiyo ni fact.. wabongo tunapenda sana football na ndiko tunakowekeza..
Hiyo football mnayopenda sana mmefanikiwa kwa lipi? Last time tuliwachapa afcon. Hiyo ndio mafanikio??
 
Piscine.jpg
hii mse nikama ya some primary schools hapa Kenya, wacha kujiaibisha
 
Ondoa uchafu,takataka ambazo hata rwanda ki-nchi masikini kinaweza kujenga..ndo uanze kupiga piga kelele..leta stadium yenye capacity more than 60000,
Wanaume wa ukweli ndo hujenga vitu ka hivyo,sio takataka
Jibu lao ni moja tu Tz hatuko interested na hayo mambo ila mwamko ukiwepo soon itajengwa tena ya kimataifa cc uku tunahangaika na soka japo return yke co kubwa but kwa ss tunasonga
 
Back
Top Bottom