Upimbi ulio kichwani mwenu ni wa kiwango cha lami yn mnaacha ku discuss mradi uliogharimu maisha yenu na vizazi vyenu eti unaongelea stations asa station ndo nn kuna raha gani abiria kukaa stesheni nzr af akaenda kukumbana na moshi safari nzma


cc stesheni zetu ni za kawaida ila ni modern quality and are a good reflection of value for money na baada ya hapo abiria anaenda kupanda treni ya kisasa kabsa ambayo haipatikani seem nyng duniani nyie mnatakiwa muihoji GOK kwnn iliingia mkataba wa kishenz km huo uliopelekea kujengewa stesheni nzr za kuwafumba midomo af mletewe gari moshi at the cost of electric