Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lol.....ati crossing to ldc Tanzania.......or you are referring to that old story where taveta residents crossed for treatment because of the 3 month doctor's strike....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unadhani chuki zako zitabadilisha ukweli?

HUKU serikali ikinuia kuhakikisha kuwa Wakenya wote wanapata huduma bora za afya kufikia mwaka wa 2022, wenyeji wa kaunti ya Taita Taveta wangali wakisafiri hadi Tanzania kutafuta matibabu.

Taifa Leo ilibaini kuwa idadi ya wenyeji wa eneo hilo wanaosafiri hadi Tanzania kutafuta matibabu imeongezeka.

Baadhi ya familia zimelazimika kupeleka wagonjwa wao katika hospitali ya Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) iliyo Moshi na Faraja iliyo Himo, baada ya hospitali za kaunti hiyo kukumbwa na uhaba wa vifaa na dawa.
 
Dar is amazing
FB_IMG_15795559329356960.jpeg
FB_IMG_15795559049756255.jpeg
FB_IMG_15795558143522444.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol.....ati crossing to ldc Tanzania.......or you are referring to that old story where taveta residents crossed for treatment because of the 3 month doctor's strike....

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nasema hapa kila siku kwamba hawa watu wanaleta links hapa bila hata kujuatanasema nini. It's true that happened during doctor's strike ila huyu Hajasema hata link inasemaje
 
Back
Top Bottom