joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Huu ni Ubongo wangu?, hahahaha
Kenya kua failed state inatoka kwa ubongo wako tu. It's not a fact. But for tz being LDC, that's a fact
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa Mwezi huu kutakuwa na Habari Njema kuhusu maendeleo ya upanuzi wa Dar port.Kwa wale wa LAPSSET kuhudumia Dar port...
Hebu nidondoshee habari gani hiyo?Mwisho wa Mwezi huu kutakuwa na Habari Njema kuhusu maendeleo ya upanuzi wa Dar port.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafananisha London na hii takatakaView attachment 1326460View attachment 1326461View attachment 1326462View attachment 1326463
Kwa wa Kenya hapo watakwambia na London haijapangika kama Nairobi hahaaa
Nilikaa sana hapo Nairobi nikiifanyia kazi BBC na rafiki yangu Tom Japan, kitu ambacho alikua akilalalamika sana kuhusu Nairobi na kuisifia Dar, ni kuhusu mpangilio wa hovyo wa jiji la Nairobi ukilinganisha na Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pangeni miji kabla ya kushindana na miji ya watu iliyopangika vizuri, Dar haijapangika na huo ndo ukweli na huwezi kuilinganisha na Nairobi kwa viwango vyoyote. Na kama tutaendeleza upuuzi hata Mombasa itatupita sana tu
Huu ndio mpangilio?? 🤣 🤣 🤣 🤣 😱 😱 😱 😱 😱Nilikaa sana hapo Nairobi nikiifanyia kazi BBC na rafiki yangu Tom Japan, kitu ambacho alikua akilalalamika sana kuhusu Nairobi na kuisifia Dar, ni kuhusu mpangilio wa hovyo wa jiji la Nairobi ukilinganisha na Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtazamo wake,London ni mji poa sana level yake ni NewYork, Paris nk
Muulize mkenya mwenzako aliyeizunguka dunia Tom Japan anajua vizuri, sio wewe Korogojo/Kibera dweller hujawahi kuvuka mipaka ya Kenya.Lol....dar imepangika wapi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]stupid jokes taken far
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio mpangilio wa NairobiHuu ndio mpangilio?? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] 😱 😱 😱 😱 😱View attachment 1326480View attachment 1326488View attachment 1326489View attachment 1326491View attachment 1326496View attachment 1326497
Nyumba za gharama nafuu...kumechakaa kama mji wa 1800Even eastlands imepangika vipoa.... .hii ni msamiati kwa darView attachment 1326498
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi iko na slums, and we all know it. Unafikiri sisi ni kama nyinyi who live in denial? No we don't. Outside those slum areas, Nairobi is an organized city than that glorified fishing village of yours. Huwezi kutana na sehemu kama hizi Nairobi outside slums. Huwezi kutana na hizi ujinga mnaita dream houses hata utembee hadi wapiWe are not good too, but we're definitely doing better , huwezi compare Dar na nairobi inayoongoza kwa ukuaji wa slums 5% ambayo ni kiwango kikubwa according to UN
You can't compare jiji la kisasa Dar es salaam na mji wa zamani uliojaa mijengo ya zamani na miundombinu ya kizamani haiwezekani kabisa,
Wewe endelea kujazana ujinga na huyo mwenzako maana ndio kipaji chenu.
Hizi sasa tutaitaje??? Hell?
If you did literature in high school, you would understand why the words failed state have been quotedHuu ni Ubongo wangu?, hahahaha
Kenya falls in ‘Failed State Index’ rankings
Kenya’s standing in a “Failed State Index” compiled by US researchers has fallen for the fourth consecutive yearwww.nation.co.ke
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't compare London with a glorified fishing village like Dar. That's an abomination. They don't have dream houses in LondonView attachment 1326460View attachment 1326461View attachment 1326462View attachment 1326463
Kwa wa Kenya hapo watakwambia na London haijapangika kama Nairobi hahaaa