Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I thought you were going to give me a link where the Minister says these words as per what you said. "wale wanafunzi ambao watashindwa kulipa " tuition fees" wasirudishwe nyumba". That clip only talks about parents who are unable to raise school fees for their children, a totally different thing from what you said
Sasa kama mwanafunzi " Examination results" zinazuiliwa baada ya kumaliza shule mpaka atakapolipa deni lake la " School fees", hiyo inamaana gani kama sio " Tuion fees?".


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watabisha tu🤣🤣🤣👌
IMG_20200117_095838.jpg
 
lol tumuamini power monger politicians with fake politics and promises au tuwasikilize common citizens? Simply hakuna elimu bure Kenya

Our cabinet secretaries are not politicians. They do not hold any political office
 
Sasa kama mwanafunzi " Examination results" zinazuiliwa baada ya kumaliza shule mpaka atakapolipa deni lake la " School fees", hiyo inamaana gani kama sio " Tuion fees?".


Sent using Jamii Forums mobile app

I have already given you a break down of different fees paid in Kenyan schools, and which ones are catered for by the government and even given you links to read. Hii yako sasa ni usumbufu. Believe what you want
 
Back
Top Bottom